Pata faida 30,000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

Ni Business Model nzuri...

Changamoto kubwa hapo ni kujenga timu nzuri ya hao vijana...

Vijana wengi wakileo wako short sighted, they don't care about the future(bigger picture)..

Unakuta mtu anatimka na TZS. 50,000 kwamba kapiga na wakati angetulia angetengeneza pesa ndefu kiasi cha kutoka kimaisha kabisa...

So kama Mtendaji Mkuu, unawajibu wa kuwabebesha maono uliyonayo na kuwaaminisha ni kwa jinsi gani watanufaika zaidi na si vinginevyo.

Au uwe vizuri kwenye engo ya kudhibiti endapo utapata vijana wasioleweka..
Hapo kwa kuwabebesha maono ndipo pagumu. Wao hudhani wanakutajirisha wewe bosi wao.
 
Brother unamiliki vitegauchumi gani hapa mjini?
maana kwa hesabu zako lazima uwe milionea
Nina duka la jumla la nafaka... Ila nipo vzri kichwani haswa katika mawazo ya kibishara Nina wazo lengine pia unaweza kuingiza ml 3+ kwa mwezi kwa mtaji wa ml 2.5 tuu
 
Hili ni poa ila linahitaji full supervision? mi mwajiriwa muda wangu mchache
 
Hizi biashara za maandishi tofauti na uhalisia wake hatari sana
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.

Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1

Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM
 
Mkuu umenena kitu kikubwa sana sema vijana sisi tuna tatizo moja ambalo limekua ni ugonjwa mkubwa sana tatizo lenyewe ni kukatishana tamaa bila kujaribu au kuangalia kuna watu wanauza vitafunwa kila siku ila hawasongi mbele. Siku moja nilifanya research ndogo sana kuhusu biashara ya mayai ya kuchemsha wanayotembeza hawa vijana mtaani.

STORY IPO HIVI.
Siku moja nilikua katika matembezi yangu nikakutana na kijana muuza mayai ya kuchemsha. Nikamsimamisha nikanunua mayai mawili kisha nikamuongezea elfu mbili ya bure kama yake. Akafurahi sana tukaanza stories mbili tatu kuhusu hii biashara akafunguka sana akanambia kuwa yeye ameajiriwa na analipwa elfu 30 kwa mwezi kama mshahara. Boss wake anampa chai asubuhi na chakula cha usiku that means mchana anajitegemea, pia kulala analala kwa boss wake na wameajiriwa vijana watano.

Kwa siku kila mmoja hupewa tray 3 za mayai ya kuchemsha ili wakatembeze ambapo yai moja ni mia 400. Kwa hesabu ya haraka haraka ni 400x90=36,000 kwa mtu mmoja. Bei ya kununulia mayai kwa tray ni 7000x3=21000. So kwa siku boss wake anaingiza kwa mtu mmoja elfu 15000 ambapo kwa watu watano jumla ni elfu 75000/day ambapo kwa mwezi ni 2,250,000. Kwa hesabu ya haraka haraka hawa vijana matumizi yao kuanzia chai ya asubuhi na chakula cha jioni hawawezi kumaliza milioni moja kwa mwezi. Hapo bado alikua analalamika kuwa boss wao anawanyanyasa sana ila wanafanya kwa kuwa hawana jinsi tu maisha yanawabana sana.

Nikajiuliza swali hili hivi nikiwachukua vijana kama hawa nikawapangia chumba nikawachukulia kama sehemu ya familia nikawapa milo mitatu kwa siku, nikawajali kwa kila hali. Wakafanya kazi yao bila mawazo huku wana uhakika wa chai asubuhi, chakula cha mchana na jioni, sehemu ya kulala na mshahara juu watashindwa kuwa waaminifu kwangu wakafanya kazi kwa furaha. Bahati mbaya yule kijana hakuwa na simu na nilimpa namba yangu nikamwambia anibeep tu kwa simu yoyote lakini mpaka leo sikufanikiwa kuwasiliana nae tena.

HITIMISHO
kila wazo linapokuja mbele yetu tusipuuze kabla ya kukaa chini na kulitazama kwa jicho la pili. Leo hii tunapinga hili la kuuza maandazi mtaani ila tukumbuke kila siku kuna maandazi yanauzwa madukani na tunanunua kila asubuhi. Asanteni sana
 
Hata mambo hujazungumzia cost za material zingine kama mafuta baking powdr
 
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.

Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1

Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM
Kama ni rahisi Fanya wewe
 
Wewe unatafuta vijana uwaajili na vijana nao wanakutafuta wewe wakuajili..

Vita ni Vita muraaa
 
Ungejua hayo maandazi ya kutengeneza majumbani hayana hata soko kitaa kwa sasa.

Watu wanapenda yale ya kutoka bakery,yameshiba sawia.
 
Ni wazo zuri mkuu lakini, katika utekelezaji biashara ni ngumu sana tena ngumu kwelikweli mkuu, kuna mambo mengi sana yanatokea hapo katikati yanaweza kufanya biashara ikafa mfano hata wewe nikuulize unaweza nunua maandazi ya kutembeza kwa mtu ambaye haumjui?

Jibu ni hapana na wengi sikuhizi wanauzia maandazi nje ya nyumba zao mtaani wanakaanga kabisa yanakuwa yamoto je yakutembeza siku nzima yatanunulika?
Bila ya kusahau ushindani na Bakhresa pia.
Maana ya Bakhresa yanaaminika kwenye
quality na hygiene ila yako wewe hayawezi kuaminika kwa sababu hawajui unatengenezea wapi
 
Mkuu umenena kitu kikubwa sana sema vijana sisi tuna tatizo moja ambalo limekua ni ugonjwa mkubwa sana tatizo lenyewe ni kukatishana tamaa bila kujaribu au kuangalia kuna watu wanauza vitafunwa kila siku ila hawasongi mbele. Siku moja nilifanya research ndogo sana kuhusu biashara ya mayai ya kuchemsha wanayotembeza hawa vijana mtaani.

STORY IPO HIVI.
Siku moja nilikua katika matembezi yangu nikakutana na kijana muuza mayai ya kuchemsha. Nikamsimamisha nikanunua mayai mawili kisha nikamuongezea elfu mbili ya bure kama yake. Akafurahi sana tukaanza stories mbili tatu kuhusu hii biashara akafunguka sana akanambia kuwa yeye ameajiriwa na analipwa elfu 30 kwa mwezi kama mshahara. Boss wake anampa chai asubuhi na chakula cha usiku that means mchana anajitegemea, pia kulala analala kwa boss wake na wameajiriwa vijana watano.

Kwa siku kila mmoja hupewa tray 3 za mayai ya kuchemsha ili wakatembeze ambapo yai moja ni mia 400. Kwa hesabu ya haraka haraka ni 400x90=36,000 kwa mtu mmoja. Bei ya kununulia mayai kwa tray ni 7000x3=21000. So kwa siku boss wake anaingiza kwa mtu mmoja elfu 15000 ambapo kwa watu watano jumla ni elfu 75000/day ambapo kwa mwezi ni 2,250,000. Kwa hesabu ya haraka haraka hawa vijana matumizi yao kuanzia chai ya asubuhi na chakula cha jioni hawawezi kumaliza milioni moja kwa mwezi. Hapo bado alikua analalamika kuwa boss wao anawanyanyasa sana ila wanafanya kwa kuwa hawana jinsi tu maisha yanawabana sana.

Nikajiuliza swali hili hivi nikiwachukua vijana kama hawa nikawapangia chumba nikawachukulia kama sehemu ya familia nikawapa milo mitatu kwa siku, nikawajali kwa kila hali. Wakafanya kazi yao bila mawazo huku wana uhakika wa chai asubuhi, chakula cha mchana na jioni, sehemu ya kulala na mshahara juu watashindwa kuwa waaminifu kwangu wakafanya kazi kwa furaha. Bahati mbaya yule kijana hakuwa na simu na nilimpa namba yangu nikamwambia anibeep tu kwa simu yoyote lakini mpaka leo sikufanikiwa kuwasiliana nae tena.

HITIMISHO
kila wazo linapokuja mbele yetu tusipuuze kabla ya kukaa chini na kulitazama kwa jicho la pili. Leo hii tunapinga hili la kuuza maandazi mtaani ila tukumbuke kila siku kuna maandazi yanauzwa madukani na tunanunua kila asubuhi. Asanteni sana
Bora wewe umenena wengine wanaponda tuu kumbe pesa ipo sana
 
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.

Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1

Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM
Tatixo kubwa Sisi sio wabunifu. Same maandaz mwingine anatengeneza nakupiga pesa chafu.
 
Back
Top Bottom