nawewe jaribu ushauri huu kwanza ...toa adapter yaani huo waya wa chaja toa na betri isha bofya button ya kuwasha wa sekunde 30 vyote hivyo vikiwa havipo halafu weka adapter pekee yake kisha washaDell N4010
mewasha lakin hali nihiyohiyo inajizima baada ya sek 5
karibu tenaAsante mkuu kwa msaada
Samahani mkuu. Je nitawezaje kuijua type model ya pc yangu? kuna sehemu yoyote niki press itanionyesha?.Tatizo la pc kujizima kama imewaka vizuri na kukaa kwa muda kidogo mostly linatokana na pc kuwa overheated sasa hii hutokana na
1. pc kuwa na vumbi jingi kwenye feni na sink especially katikati ya feni na heat sink hivyo pc kushindwa kuondoa joto ndani
2. feni kutofanya kazi kabisa
3. heat sink compound kuisha wenye pc hii ni mara chache
Unaweza kufungua pc yako na kufuta vumbi lote ndani ya pc maeneo hayo kisha rudishia kama kawaida, kama feni haizungui kabisa hapo utahitaji utaalam zaidi...
kufungua pc just google how to disassemble.... hapo mbele uta-type model ya pc yako
toa betri angalia hapo ilipokuwa betri utaona model au P/N namba zifuatao ndo model au washa pc, bofya start button, isha type system information halafu check modelSamahani mkuu. Je nitawezaje kuijua type model ya pc yangu? kuna sehemu yoyote niki press itanionyesha?.
drivers zina-miss kwenye pc yako baada ya kubadilisha window...jaribu ku-update hiyo pc yako fully itaondoa hiyo shida lakini pia waweza ku-install driverpack kwa urahisi zaidi kama ipoKompyuta yangu haipunguzi mwanga wa screen. Nabonyeza kitufe cha ku increase contrast inaongezeka namba tu
umeweka ubuntu alongside windows au uliondoa windows kabisaHabarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04
Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS
So naomba msaada
Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
Windows hakuna kabisaumeweka ubuntu alongside windows au uliondoa windows kabisa
Hongera kwa msaada mkuu..Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao
Karibuni
Shukrani mkuu, nimeiona.toa betri angalia hapo ilipokuwa betri utaona model au P/N namba zifuatao ndo model au washa pc, bofya start button, isha type system information halafu check model
Huenda pc yako ikawa haina au ina defective Wireless/ Bluetooth card/ adopter. Maana kma icho kifaa kipo au kizima ikitakiwa ukiswitch on iyo switch basi Pilot indicator iwe on. So tafuta mtaalamu afanye troubleshootingTatizo la computa yangu dell (latitude/E6400 inagoma kutumia bluetooth, na WiFi ata nikiinstall driver tofauti
NB
ata taa (indicator ) zake haziwaki,
pia inakataa kuinsataal baadhi ya program kama archcard
Km upo dar. Ni-pm nikurekebishia tatizo lako.Tatizo la computa yangu dell (latitude/E6400 inagoma kutumia bluetooth, na WiFi ata nikiinstall driver tofauti
NB
ata taa (indicator ) zake haziwaki,
pia inakataa kuinsataal baadhi ya program kama archcard
Hayo ni matangazo yanayo pop up pindi ukiwa online. Tumia adgurd au slim jet browser hii ina ads blockermkuu computer yangu ina tatizo la kupenda site za porn kila niki fungua JF lazima inionyeshe dem mwenye SNURA