Mimi ningependa unipa picha za nyumba za hapo hapo mwz ulizo cholea ramani kuliko nyumba za mitandaoni, tena kibaya zaidi mnaonyesha finishing za nje badala ya kunyensha achterctuaral work ya ndani kwenye nyumbaModern hotel from capripoint mwanza
Piga 0678195114 kwa ramani nzuri na gharama nafuuView attachment 1855328View attachment 1855329View attachment 1855331
Ujuaji wako wa kishambakwa ulimwengu huu bado kuna msukuma anaweka tangazo la kuuza bidhaa bila bei
Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa lakini kwetu sisi hizi ni kazi zetu wala usiwe na shaka karibu sanaKuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
Onyesha picha halisi ya kazi yako sio za nchi nyingine na finishing za njeMkuu unacho ongea ni kweli kabisa lakini kwetu sisi hizi ni kazi zetu wala usiwe na shaka karibu sana
Hamna picha za mdandaoni boss hapo hizo picha zote ni za wateja wetu kama kuna hotel hapo nimeiweka iko kapripoint iko kule juu ukipita mwanza international karibu sana boss na ukihitaji maelezo zaidi nitakupatia kiongoziMimi ningependa unipa picha za nyumba za hapo hapo mwz ulizo cholea ramani kuliko nyumba za mitandaoni, tena kibaya zaidi mnaonyesha finishing za nje badala ya kunyensha achterctuaral work ya ndani kwenye nyumba
Mbona hizi nyumba zipo tanzania boss kama upo mwanza naweza kukupeleka ukashuhudia karibu sana mkuuOnyesha picha halisi ya kazi yako sio za nchi nyingine na finishing za nje
Hiyo ya katikati ujenzi wake mpaka inakamilika inaweza kugharimu kiasi gani kwa Pwani?.Chora na jenga nasi kwa gharama nafuu
View attachment 1855306View attachment 1855307View attachment 1855308
Sasa mkuu mie ni mteja wako mtalajiwa, naomba unielekeze hizo nyumba mwz iko wapi niende kuiona physically ukiondoa hiyo hotel ya kauri point.Mbona hizi nyumba zipo tanzania boss kama upo mwanza naweza kukupeleka ukashuhudia karibu sana mkuu
Hii boss nimemfanyia kazi jamaa yuko luchelele na kazi ya ujenzi ishaa anza ukihitaji kukupeleka nitakupeleka kule kupita chuo cha sauti@mulwanakaKaribuni sana wakuu kwa ramani nzuri na bei nafuuView attachment 1855505View attachment 1855508
Kiongozi sio wote tunaofanya hivyo siwezi kukukatalia wapo wanaofanya hivyo ila wengine kazi zetu tunazikubali karibu sana mkuuHakuna watu wananishangaza kama hawa wanaojiita wachora ramani.
Wanatangaza biashara kwa kutumia picha za ku download.
Kwa nini msitumie kazi zenu halis??? Kwa bahati mbaya sana unakuta picha ya nyumba moja inatumiwa na na watu wengi zaidi.
weka ramani na bei yake mkuu shida nini?Kaka kwenye swala la ramani kila ramani ina bei yake inategemea unahitaji ramani ya namna gani kuna ramani za shule,hostel,apartments, hotel,residential house karibu sana mkuu ni maelewano tuu
Kaka nashukuru sana unaweza kutuambia unahitaji ramani ya namna gani tukakufanyia kazi yako kwa uzuri kabisa karibu sanaweka ramani na bei yake mkuu shida nini?
Tuakusikiliza unacho hitaji tunakufanyia kazi kama unahitaji nyumba zenye paa la kuonekana karibu sana bosskwanini picha nyingi ni contemporary