Kama Ni kazi zako, why inaonesha finishing ya elevations tu. Mbona hakuna floor plans.Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa lakini kwetu sisi hizi ni kazi zetu wala usiwe na shaka karibu sana
Yaani finished elevations tu bila kufahamu partitions? Huoni kama unaanisha watu kuwa siyo kazi kweli ako, Ni utapeli tu?
Binafsi naelewa why hutaki kuweka, lakini huko ni kuuza mbuzi kwenye gunia🤣🤣🤣