INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa lakini kwetu sisi hizi ni kazi zetu wala usiwe na shaka karibu sana
Kama Ni kazi zako, why inaonesha finishing ya elevations tu. Mbona hakuna floor plans.
Yaani finished elevations tu bila kufahamu partitions? Huoni kama unaanisha watu kuwa siyo kazi kweli ako, Ni utapeli tu?
Binafsi naelewa why hutaki kuweka, lakini huko ni kuuza mbuzi kwenye gunia🤣🤣🤣
 
Boss Family house ya kumjengea mama kijijin, roof iwe mgongo wa tembo ya T au L
 
Umejuaje kama ni msukuma? Bei ni negotiable mkuu kwa sbb ramani haziko uniform so ukiwa interested unamfuata inbox kumweleza nn exactly unahitaji then mtaongea na bei.
Anayo trauma fulani may be chuki or anything behind her subconscious mind
 
Kama Ni kazi zako, why inaonesha finishing ya elevations tu. Mbona hakuna floor plans.
Yaani finished elevations tu bila kufahamu partitions? Huoni kama unaanisha watu kuwa siyo kazi kweli ako, Ni utapeli tu?
Binafsi naelewa why hutaki kuweka, lakini huko ni kuuza mbuzi kwenye gunia🤣🤣🤣
Asantee sanaa mkuu...

Sorry kwa usumbufu...sijakuelewa kwanini hamruhusiwi kati mnafanya biashara na mnalipa kodi...
Kwa nini hamruhusiwi na ninyi ni registered company? Biashara ni matangazo, otherwise you might have a hidden agenda.
Mkuu sorry kuna haya maswali bado haujayajibu....majibu yako yanaweza yakatufanya kabla mwaka hujaisha tununue ma ramani kwako...

Kuna ramani nimeipenda ila nataka kujiridhisha..
 
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
7-1.jpg
 
Kwa ramani zenye ubora wa hali ya juu tupigie

0678195114 au 0689993661

Wasap:0766195115
Email: sirajimsilanga55@gmail.com

Iwe: apartments, godawn, lodges, gorofa , contemporary na zenye muonekano wa bati tunakuchorea kwa uaminifu mkubwa kabisa hata kama uko nje ya nchi pia tunajenga na kutoa ushuri kuhusu ujenzi.
View attachment 2816656
6-2.jpg
 
Chora nasi sasa kwa gharama nafuu kabisa
Piga:0678195114
Piga:0689993661
Wasap:0766195115
Email: sirajimsilanga55@gmail.com

Ramani za kanisa zenye ubora wa hali ya juu na zenye hadhi ya kisasa karibuni.
4-2.jpg
2-3.jpg
7-2.jpg
6-3.jpg
1-3.jpg
3-2.jpg
 
Back
Top Bottom