Hahahahaah ndio watakushinda.Kuna mtu ananidai million 4 na mpango wangu ni kumdhulumu kabisa! Na nimemkopa tena mdogo wake yani nampango wa kudhulumu familia nzima je wakinifungulia kesi ya wizi wa uaminifu mahakamani watanishinda?
Watakunyanganya vitu ulivyo navyo, jaji mlyambina aliwai kusema "mahakama sio chaka la wakopaji kuja kukimbilia kujificha, dawa ya deni ni kulipa."Kuna taasisi ya fedha nilikopa,nimeshindwa kulipa baadhi ya marejesho.Nimeambiwa natumiwa majembe.Hao majembe watanibeba mzimamzima au wataninyanganya vitu nilivyonavyo?
Ndio, inaweza kua ya uhujumu uchumi pia, ila tu kupewa kesi ya uhujumu uchumi haimaanishi kwamba ndio tayari mtu kashakutwa na hatia au ni makosa mazito sanaa, hapana ni tuhuma tu kama tuhuma zingine.Habari wakili. Naomba kujua kama kesi ya kusafirisha mkaa magunia 20 inastahili kuwa ya uhujumu uchumi. Natanguliza shukrani.
Mara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho.
Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza kutoa msaada walau ata robo tu tokana na maarifa machache ya sheria niliyo bahatika kuya soma.
pro bono ya hapa na pale 😀,,, yasiwe yakuumiza kichwa saanaa wala kufikirisha sanaa, ni hivi vya hapa na pale tu.
Hapana hana uwezo huo, kama ilitokea basi unfair termination, kimsingi mtu yoyote anaweza kutuhumiwa tu mpaka mahakama itakavyo kuta ni tofauti, so haki za huyu mtu hua ziko pale pale kama ilivyokua kabla ya tuhuma au ukamatwaji wa polisi.Et Mwajiri anaweza kumuachisha kazi mtumishi ambaye alishitakiwa polisi kwa kosa la wizi lkn baada ya uchunguzi wa jeshi la polisi mtumishi alionekana hana kosa. Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio madai yana ukomo, miaka sita kwa mikataba, miaka 12 ya ardhi.....jinai haina ukomo wa muda mpaka sheria husika iseme ukomo uwe upi?
Kikawaida ukimuwekea mtu dhamana na akatoroka basi wewe mdhamini hua unapaswa kufika mahakamani na kutoa taarifa mara moja juu ya tukio ilo, mahakama itakupa order ya wewe kumtafuta hadi kumpata ila ukishirikiana na jeshi la polisi, endapo itaonekana kabisaa jamaa hajapatikanika basi mahakama hua inachukua bond uliyoiweka kwa muda mpaka siku atakapo patikanika au inakutozesha fine ulipe na wewe ufanye maombi ya kujitoa kama mdhamini kwa mtu huyo, kwa busara muda mwingine mahakama hua zinawaacha tu huru wadhamini hao na inaendelea na utaratibu wa usikilizwaji in absentia angali mtuhumiwa hayupo, hakuna mtu anaeweza kufungwa kwa kosa la mtu mwingine kisa alimdhamini.Ahsante sana,nikimuwekea dhamana mtuhumiwa harafu akatoroka Mimi nifanyaje niepuke adhabu au mkono wa sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app