Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

Wakili,nisaidie hivi mkataba wa bank ukisaini kua utalipa mwezi wa sita(yote) muda ukifika ukapeleka nusu jee naweza shitakiwa muda ukipita huku nimeshaanza kulipa deni? Msaada tafadhari
 
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku naomba kupatiwa msahada Nina ndugu yangu anaitaji kusoma English course hapa dsm mwenye kujuwa sehemu inayo toa elimu nzuri tafadhari anipe maelekezo nielekee uko endapo janga hiri liki hisha yupo DSM Asante
 
Wakili,nisaidie hivi mkataba wa bank ukisaini kua utalipa mwezi wa sita(yote) muda ukifika ukapeleka nusu jee naweza shitakiwa muda ukipita huku nimeshaanza kulipa deni? Msaada tafadhari
Wakili naomba msaada wako. Kuna mtu nilimwachia pesa ili awape watu( yeye ni barozi wa hilo eneo) ila ile pesa hakuwapa walengwa akaitumia kwa matumizi yake.nimemuomba anirudishie hiyo pesa lakini anakwepa.

Tumeandikishana mbele ya mashahidi akakubali kulipa hiyo pesa baada ya mwezi,mwezi umepita ila bado ananizungusha,nampigia simu hapokei.

Je naweza kumpeleka mahakamani? na kama inawezekana ntamfungulia shauri gani?

Ntashukuru kwa msaada wako!
 
Mimi ni saveya aka mpima ardhi , ngoja nitoe opinion yangu akija 'Wakili Msomi ' atasahihisha vizuri Kama nimekosea

ISSUES
.i je migogoro baina ya chama cha ushirika na wanachama inatatuliwaje?..
Mkuu tathimini ya athari ya mazingira kwenye maghala( magodown) ni nini? Na inapaswa kufanywa na nani? Na je ukimiliki godown ni lazima kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom