666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
- Thread starter
- #161
Unapaswa kufanya juhudi binafsi ikiwemo kuwakumbusha hao waajili wako wakulipe masalia yako na haki zako walizo kukatisha, kama wataonekana hawana Jema basi utaenda Tume ya Usuluhishi na upatanishi CMA kwa ajili ya kupeleleka malalamiko rasmi na kuanza moja kisheria.Kitu gani napaswa kufata endapo nikiwa sijapewa stahiki zangu na kuonewa ktk kusitisha mkataba wangu Kati yangu na muajili
Tume hii iko kama mahakama na inafanya kazi kila kitu sawa na Mahakama, lakini inashauriwa kama una hisi kuna haki zako kweli zinanyanganywa basi mtafute wakili yoyote maeneo ya karibu ulipo akusaidie.