Ripoti ya mkaguzi wa mahesabu ya ndani ilisema nina kosa la wizi lkn mwajili akanituhumu kwa kosa la kukusudia kuiba na kuniachisha kazi.
Walinishitaki polisi kwa kosa la wizi lkn baada ya uchunguzi wa jeshi la polisi nilionekana sina kosa na polisi waliandika barua kuja kwa mwajiri wangu kwamba hawaoni kosa. Hii imekaaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app