Wakili,nisaidie hivi mkataba wa bank ukisaini kua utalipa mwezi wa sita(yote) muda ukifika ukapeleka nusu jee naweza shitakiwa muda ukipita huku nimeshaanza kulipa deni? Msaada tafadhari
Wapendwa habari zenu poleni na majukumu ya kila siku naomba kupatiwa msahada Nina ndugu yangu anaitaji kusoma English course hapa dsm mwenye kujuwa sehemu inayo toa elimu nzuri tafadhari anipe maelekezo nielekee uko endapo janga hiri liki hisha yupo DSM Asante
Wakili,nisaidie hivi mkataba wa bank ukisaini kua utalipa mwezi wa sita(yote) muda ukifika ukapeleka nusu jee naweza shitakiwa muda ukipita huku nimeshaanza kulipa deni? Msaada tafadhari
Wakili naomba msaada wako. Kuna mtu nilimwachia pesa ili awape watu( yeye ni barozi wa hilo eneo) ila ile pesa hakuwapa walengwa akaitumia kwa matumizi yake.nimemuomba anirudishie hiyo pesa lakini anakwepa.
Tumeandikishana mbele ya mashahidi akakubali kulipa hiyo pesa baada ya mwezi,mwezi umepita ila bado ananizungusha,nampigia simu hapokei.
Je naweza kumpeleka mahakamani? na kama inawezekana ntamfungulia shauri gani?