Pata Vifaranga aina ya light sussex

Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata mzinga na bata bukini pia wanapatikana 0757662401

kwakweli wanakwenda vizuri bwana kitomary na wanavutia saana wana weak 2 utadhani wana mwezi pia hawana sana gharama wanakikundi wanaitaji wengine nitakupa order next weak
 
bado wanakua kaka walishe stater tu baada ya miezi 2 utaniambia
 
napenda sana mifugo tafadhali pia ukiwa na mbegu eyote nzuri napenda sana ukinipatia ndugu
 
Habari mkuu! Nipo Dsm ninahitaji vifaranga vya light sussex 150 by mwisho wa mwezi huu. Naweza kupata? Gharama ya usafirishaji inakuwaje?
 
Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata mzinga na bata bukini pia wanapatikana 0757662401

Utaratibu wa ku order na kuwapata upoje mzee? bei je?
 
mh umeshtuka na wewe eeh? ngoja ninyamze coz nina mengi ya kusema bt hata kimya ni vema. Wanajukwaa akili za kuambiwa changanya na zenu.
 
ni vyema ukajaribu tukwaambialo mimi nimechukua hawa kuku kutoka kwa jamaa kuna wenye miezi miwili na nunusu majogoo utadhani wana miezi 5 usi google jaribu kufanya pia kwa vitendo ni bora zaidi
 
Hata ukisoma kwenye wikipedia wanaelezea kama kitomary alivyoelezea mkuu,watu wengine wao always wana dwell kwenye negativity and criticism,dawa ni kuachana nao
 
mh umeshtuka na wewe eeh? ngoja ninyamze coz nina mengi ya kusema bt hata kimya ni vema. Wanajukwaa akili za kuambiwa changanya na zenu.

mh! Nadhani umependa kujiandikia tu kama huna kazi bora ungelila tu! Tuache sisi wajasiriamali tufanye kazi
 
acha kukurupuka wewe sawa eeh? Me ni mtu mzima na akili zangu dat y nikasema hata kimya ni vyema coz wewe hunifahamu na me ckufaham na huwez jua kama kitomari nlishawahi kufanya nae kazi au sijawahi na ilikuwaje so usijifanye mzaleendo wa ujasiriamali kuliko wengine. Tupo hapa kuelimishana n dat y hujaona sehem nliyompinga mleta mada though nlishawahi kumuona na kufanya nae kazi flani bt najua watu hujirekebisha na kubadilika dat y nikaamua kunyamaza. Grow up.
 
ni vyema ukajaribu tukwaambialo mimi nimechukua hawa kuku kutoka kwa jamaa kuna wenye miezi miwili na nunusu majogoo utadhani wana miezi 5 usi google jaribu kufanya pia kwa vitendo ni bora zaidi

thnx mkuu. Hata majibu yako yanaonesha una akili na hekima. Ntajaribu though sio karibuni.
 
Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata mzinga na bata bukini pia wanapatikana 0757662401

habari bwana kitomary hawa kuku wa izrael wanaeza ishi ukanda wetu huku Dar je nao nikama hawa ligth sussex asant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…