Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Utanzania kwako ni nini? Rangi?Tunanzie hapo! Huyu Bi Mkubwa ana utanzania upi!? Wakati ni Mgujarati mtupu!
View attachment 3246107
Serikali iliyokuwa chini ya mwalimu nyerere unaikumbuka? Unakumbuka viongozi kwa majina na rangi zao?
Historia za wakina Sykes? Karume? Pamoja na rangi zao kuwa kama yangu maana ya kwako siwezi fahamu ilivyo kwa kuwa sikufahamu.