Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

Watanzania wengi, na hasa machawa, hawana akili.

Tunashindwa kuwekeza kwa watu wetu, halafu tunabakia kujibandikiza kwa watu waliofanikiwa!!

Serikali yetu imewekeza kwenye uchawa, isubirie na ifurahie mafanikio ya uchawa, angalao kwa kuweza kuweka picha ya Samia kwenye kila kitu. Hayo ndiyo mafanikio ya nchi yetu baada ya CCM kuwekeza heavily kwenye mambo ya kijinga, kama uchawa.
 
Well said Mkuu
 
Mkuu huyo sio mtanzania bali ana asili ya Tanzania, na hilo haliwezi kufutika.
 
Haina mantiki ya msingi na sio afya njema kuona Mwaisa amekaa Tukuyu akicheza mpira na hakuna ukurasa wa TFF wowote umewahi kumuonesha ila akibadilisha uraia akaenda Australia na kukiwasha haswa, admin wa ukurasa wa TFF kule Facebook utaona anavyosifia kuhusu kiwango chake na kuelezea kuwa ni mtanzania.
Uko Sahihi kabisa, kuna Yule Mtanzania wa Goba aliyepata tuzo ya Tiktok ya ubunifu kwenye mpira, HAKUNA media Yoyote imeripoti kwa uzito suala lile.

MTU Yule Yule angekua Nchi nyingine akapata hio fursa, basi kila media ingeandika vizuri sana sana na kwamba wanamfahamu
 
Zero Brainer 😔 yule jamaa angekuwa Marekani nadhani sasa hivi angekuwa anamiliki mansion yake pale California ila tumekazana na uchawa usio na msingi
 
Uko Sahihi kabisa, kuna Yule Mtanzania wa Goba aliyepata tuzo ya Tiktok ya ubunifu kwenye mpira, HAKUNA media Yoyote imeripoti kwa uzito suala lile.

MTU Yule Yule angekua Nchi nyingine akapata hio fursa, basi kila media ingeandika vizuri sana sana na kwamba wanamfahamu
Huyu mwamba 😔 angekuwa Magharibi tumeshasikia kuwa Zero Brainer mwenye asili ya Tanzania 😃
images - 2025-02-23T123519.126.jpeg
 
mkuu hivyo ni vyombo vya habari vya India vingi nndivyo vinavyoripoti kwa uasili wake wa India, nasisi tukiripoti uasili wake wa huku kwetu hivyo kosa liko wapi?
Mgujarati!??
 
Mgujarati!??

yah asili yake ni mgujuraati, hapa TZ kuna wahindi wengi sana wenye asili ya Gujurati kama akina Ismail Jussa, wahindi wa Gujurati na Goa ndio miaka ya zamani waliokuwa wakitoka nje ya India na kuhamisha makaazi maeneo mengine.
 
I rest my case 😌 asili yake ni Mgujarati
 
Hahah, wakati katika suala la michakato hatutaki lakini matunda yakishaonekana tunajifanya kimbelembele.
 
Ipo siku watasema Lukaku ni Mtanzania kisa aliwahi kwenda kununua unga ¼ pale Kasulu Kigoma
 
Back
Top Bottom