Utanzania kwako ni nini? Rangi?Tunanzie hapo! Huyu Bi Mkubwa ana utanzania upi!? Wakati ni Mgujarati mtupu!
View attachment 3246107
Ukiboronga na madawa ya kulevya au kuvunja sheria za nchi za watu unataka usaidiwe vipi?Halafu akiboronga huko wanamgeuka
Kijana anashida anataka uraia pacha, hivyo Anafosi mambo kwa jazbaYusuf yurary ni mtanzania hapa Tanga anakuja sana ,mwaka juzi kama sijakosea alikuja kumzika bibi yake ... Huyo ni mdigo kabisa anakuja sana Tangq ilq sio mtu wa media tangu akiwa mdogo.
Patel alikaa sehemu gani!?? Mama yake alikaa sehemu gani Tanzania!? Utetezi wako kuwa mtu akiharibu lazma asemwe je, akishikwa mtu Uchina na kusema yeye ana asili ya Tanzania unadhani Mawaziri wanaohusika watamuunga mkono!?Kijana anashida anataka uraia pacha, hivyo Anafosi mambo kwa jazba
Sasa tukiwa na uraia pacha hao wazungu kwa rangi zao tutawaita watanzania? Maana anashangaa rangi Patel ila ya Dewji na wengine kwake sio tatizo kabisa
kama ni hivyo hao wote ni wahindi,haimake sense kuwaita watanzania.Tunanzie hapo! Huyu Bi Mkubwa ana utanzania upi!? Wakati ni Mgujarati mtupu!
View attachment 3246107
Basi kama ni hivyo hao ni wahindi sio Watanzania,yaani ni sawasawa leo hii mimi mbantu niamue kwenda kuishi Dubai halafu uniite mwarabuTunanzie hapo! Huyu Bi Mkubwa ana utanzania upi!? Wakati ni Mgujarati mtupu!
View attachment 3246107
Qatu wanakaza vichwa kutaka spotlight kupitia mtu mwinginekama ni hivyo hao wote ni wahindi,haimake sense kuwaita watanzania.
Yaani ni sawasawa mimi leo niamue kwenda kuishi
Basi kama ni hivyo hao ni wahindi sio Watanzania,yaani ni sawasawa leo hii mimi mbantu niamue kwenda kuishi Dubai halafu uniite mwarabu
Mkuu Comoro na USA ni mbali mbal wapo Watanzania kabisa huko Hwange ni RPC na kaka yake General wa Jeshi SA na wanajulikana kuwa ni Watanzania ila hakuna media utasikia imeongea kwa sababu wapo kwenye Nchi ndogo wametokea Mbozi hapo..Kash Patel siyo Mtanzania.
Angekuwa Mtanzania asingeteuliwa kuwa mkurugenzi wa FBI.
Ila, mfano angekuwa na asili ya Tanzania, then what?
Hivi kwa mfano angeteuliwa kuwa mkurugenzi wa FBI ya Comoro, Watanzania [baadhi yao] wangembabaikia kama ilivyo hivi sasa?
Asili inatoka kwa wazazi asili haitoki kwa mzazi kupita Nchi fulani au kuishi huko hakuna asili hapo kama hana uraia wa hiyo Nchi.Kama jamaa mama yake alikuwa/aliwahi kuishi Tanzania na baba yake alikuwa/aliwahi kuishi Uganda tukisema asili yake ni Tanzania au Uganda tupo sawa kwa level ya kimataifa, lakini tukizungumzie Uraia ni RAIA wa marekani na sio Uganda wala Tanzania ,pia tukizungumzia "racism" ambayo kimsingi tuna uzungu, uafrika, uuhindi, uarabu na uajemi basi jamaa ni mhindi haya ni maoni yangu tu
Aje achome ngogweNi mtanzania tena mpare, arudi nyumbani haraka tujenge nchi na chama chetu.
HahahaAje achome ngogwe
.Patel huenda hata hajui kama Tanzania ina matapeli wanaovaa jezi za kijani .