Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Huwezi ukawa na akili timamu ukalinganisha maendeleo yaliyopo huko vijijini uhayani na usukumani hata kidogo.

Kwa Kanda ya ziwa hakuna mkoa wenye maendeleo vijijini Kama kagera . Just imagine wilaya ya muleba Ina shule zaidi ya 300 na hospital 4.

Wakati huko usukumani Kuna wilaya hazina hospital kabisa na hata lami haipo kabisa tofauti na barabara kuu[emoji23][emoji23]
Kaka nyinyi ilikuwa zamani! Saizi hakuna mtu anahangaika na mhaya kwenye utafutaji kanda ya ziwa ni wasukuma, wakurya na waha! Kama hutaki endelea kubisha! Hata Bukoba maduka mengi ni wachaga, wasukuma na waha! Mmebaki kubishana!
 
Uko sahihi ndugu yangu
Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!
 
Naomba nisahihishe hapa, Katoro haijawahi kuwa uhayani toka ukoloni. Buseresere ndio i( Lusubi ) ndio ilikuwa uhayani lakini Katoro (Buyombe) ilikywa Geita toka ukoloni. Hivyo siyo kweli kwamba eti Katoro ilikuwa uhayani.
Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
 
Ok nimekusoma! Ila kama nilivosema pale wahaya hawana chao!
 
Sio mimi mkuu data ndio zinaleta porojo hatuwaon kwenye data!
AU zimepikwa unazo halithi utupatie
Wew tumia akili yako linganisha umaskini uliopo huko shinyanga vijijini na hiyo GDP yao ndo uje kujisifia hapa.

Cha muhimu wew na ukoo wako muwe na hela Mambo ya mikoa haya ni kupika kupika tu. We huoni hata ramani inawashinda kuchora Mara katavi Mara Rukwa
 
Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Eti wasukuma ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] habari gan.

Yaan mnashindwa kujisifia kuwa na elimu Bora,mahitaji muhimu Kama hospital na barabara, kuwa financially strong Kama wahaya nk mnajisifia upumbavu wa kuhama kuhama na kuishi hovvyo hovyo mistuni baada ya kuharibu Ardhi yenu huko usukumani.

Huko ulikotaja sio uhayani hata kidogo. Hebu tieni miguu uhayani muone.....
 
Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!
Nawe nenda vyuoni, kwenye mahospitali,mashule,viwanda na ofisi za umma kibao utazame wahaya walivyojazana huko.

Hapo unataja miji tu ambayo imejaza watu waliokimbia huko vijijini kwao kwa sababu ya umaskini uliokithiri.
Kagera vijijini Kuna maisha mazuri ndo maana watu wanabaki vijijini kwao huko. Wakitoka ni kwenda kusoma au kufanya kazi za maana sio kuchekecha michanga huko na uchuuzi Kama wafanyavyo wasukuma [emoji23][emoji23]

Wew mwenyew hebu tazama vijijini huko usukumani vilivyo na uje useme hapa. Yaan ni umaskini ni umaskini uliokithiri
 
Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
Naona huko unasifia miji hiyo yenye mirundikano ya nyumba zilizojengwa hovyo hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]

Bado asilimia 90 ya wasukuma wanaishi vijijini huko na ndo Kuna umaskini unaotisha kweli kweli[emoji23][emoji23]

Wew mwenyew unajua kabisa kwamba mhaya na msukuma ni mbingu na Ardhi kabisa. Hiv nyie mshawahi ingiza Tajiri hata mmoja top ten nchini[emoji23][emoji23]
 
Kaka nyinyi ilikuwa zamani! Saizi hakuna mtu anahangaika na mhaya kwenye utafutaji kanda ya ziwa ni wasukuma, wakurya na waha! Kama hutaki endelea kubisha! Hata Bukoba maduka mengi ni wachaga, wasukuma na waha! Mmebaki kubishana!
Mimi ninaongelea vijijini wew unakwepa unasema mijini.

Mzee kamatia hapo hapo vijijini ambako ndo Kuna 90% ya wasukuma elezea ukweli kulivyo na umaskini wa kutisha[emoji23][emoji23]

Hiyo bukoba ni mji na ili uendelee unahitaji makabila mengi Tena tofauti sio kabila moja.

Ila huko vijijini bukoba hamtakaa mpafikie kamwe kwa maendeleo hata kagera ikiwa ya mwisho kwa GDP.
 
Hakuna na wala hautakuwepo sisi washindani wetu ni Dar peke yake nje hapo hakuna mkoa giant mwingine wakuitishia Mwanza.
Ndugu yangu punguza mbwembwe, mradi wa LNG Lindi utakua na thamani ya trion 70 au zaidi wakati GDP ya mwanza ni trion 10.95. Baada ya huo mradi kuanza sio kwamba mwanza itapitwa hata dar itasubir kwa Lindi. Bagamoyo Business Park(inakadiriwa na trion 20+) pwani itaizidi mwamza kwa GDP ikitokea bagamoyoBusiness park imeanza. Siku ukisikia Liganga na Mchuchuma imeanza tegemea kusikia mkoa mwingne umeipiku mwanza kwa GDP. Hayo nliyoasema yanaweza kutokea ndani ya miaka mitano kuanzia sasa na upepo ukabadilika hiyo mwanza unayoisema hata kwenye tatu bora inaweza isiwemo, kwa hiyo kua makini na kauli yako ya kua haitokaa itokee
 
Hizo ngonjera za hii CCM ya sasa yeny3 maneno mengi na ufisadi unategemea maajabu! Itakuwa kama mtwara wakati wa kikwete! Matokeo sifuri!
 
Mimi ninaongelea vijijini wew unakwepa unasema mijini.

Mzee kamatia hapo hapo vijijini ambako ndo Kuna 90% ya wasukuma elezea ukweli kulivyo na umaskini wa kutisha[emoji23][emoji23]

Hiyo bukoba ni mji na ili uendelee unahitaji makabila mengi Tena tofauti sio kabila moja.

Ila huko vijijini bukoba hamtakaa mpafikie kamwe kwa maendeleo hata kagera ikiwa ya mwisho kwa GDP.
Ila wewe unajifanya mjuaji tu! Kwenye vijiji vingi usukumani kuna nyumba kali tu unaleta maneno au ulishakalilishwa kuwa wasukuma wahawezi kuwa na maisha mazuri!
 
Hizo ngonjera za hii CCM ya sasa yeny3 maneno mengi na ufisadi unategemea maajabu! Itakuwa kama mtwara wakati wa kikwete! Matokeo sifuri!
Kwa taarifa yako dalili za uwekezaji wa gesi zishaanza kuonekana.Ndani ya miaka mitano ile kauli ya kua mwanza haitokaa izidiwe na mkoa mwingne zaidi ya dar itaisha.
 
Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Wasukuma walicholeta kwa Wahaya ni nyumba za nyasi, yaani ni kama mmechanjiwa aisee mnatuharibia mandhari
 
Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.

Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.

Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.

Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.

Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.

Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.

Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.

====

Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Sawa
 
Mkuu nikusahihishe..

Kanda ya Ziwa Mara,Mwanza,Kagera,Geita na Shinyanga.

Kanda ya Mashariki
Dar,Pwani na Morogoro.

Kanda ya kati
Dodoma,Singida na Tabora

Kanda ya Kaskazini
Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.

Kanda ya kusini
Lindi,Mtwara,Ruvuma

Kanda ya Magharibi
Kigoma,Katavi, Songwe..

Nyanda za juu Kusini
Mbeya,Iringa,Njombe
..............

So obviously Kanda ya Mashariki ndio kinara.
Sijaiona shimiyu mkulu
 
Tuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.

Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.

Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.

Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.

Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.

Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.

Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.

Kagera inazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya ndizi zote Tanzania.

Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.

Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.

Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.

Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.
shikamooo kwa andiko
 
Back
Top Bottom