Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Hii report inaonekana imewauma kinoma noma lakini ukweli ndo huo ata iweje kanda ya ziwa ndo blessed land.
Kanda ya ziwa wanaweza
Hii report inaonekana imewauma kinoma noma lakini ukweli ndo huo ata iweje kanda ya ziwa ndo blessed land.
Kanda ya ziwa inaweza kuwa na GDP (pato)kubwa, lakini hiyo GDP inamilikiwa na watu wangapi? Hapo ndiyo inakuja GDP pa capita. Hii inaangalia hilo pato na kugawanya kwa idadi ya watu. Ukifanya hivyo utakuta mikoa ifuatayo ndiyo tajiri.

1. Dar wastani wa kupato 4.7m
2.Iringa 4m
3.Mbeya 3.7m
Unavyopima utajiri unatakiwa kuangalia na watu wangapi wanaumiliki.

Hapo utaikuta mikoa ya kanda ya ziwa mwishoni huko, mwanza ikiwa na 2.6m. watu wanaweza kuwa na pato dogo, lakini sababu ni wachache wanakuwa matajiri kuliko nyinyi wenye pato kubwa.
 
Hii namna ya kufikiri ni JANGA LA TAIFA - a vivid portrayal of inferiority complex! Hivi unajua utalii unachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa? Au umekalia kuwaza tu kwamba wafaidika ni Wameru & Wachagga ambao wanakutisha?
Wasukuma 19 wenye mizigo mizito wakienda soko la madini pale kahama kuuza madini yao within a week ni mabilioni. Uje kulinganisha na biashara za kusubiri watu waje kuvinjari maisha ndio upate pesa? Wasipo kuja ndio mnaanza kunywa viroba na chang'aa sio? Kua na adabu mkuu
 
Aliyechora hii Ramani ni mpumbavu sana tangu lini rukwa ikapakana na tabora na katavi ikapakana na songwe

Katavi inapakana na tabora, kigoma ila cha ajabu hapa rukwa ndo inapakana na mikoa Iyo

Ramani haiko sahihi hata kidogo iondolewe
 
Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Mimi nimeamua nikae kimya tu.

Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli[emoji23][emoji848]

Ni mbingu na Ardhi kabisa.

Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.

Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa [emoji848][emoji23][emoji23]

Yaan takwimu za bongo bwana[emoji23][emoji23]
 
Simiyu haijatokana na Mwanza na inajitegemea. Mwanza wakati wa kuundwa mkoa wa Simiyu ilichangia wilaya moja tu ya Busega huku wilaya zingine Maswa, Bariadi, Meatu na Itilima zilimegwa toka Shinyanga. Kwa hiyo usipotoshe hapa kwamba eti Mwanza iko pamoja na Simiyu. Pole sana.
Hujaelewa nilichoandia nimespesifai sehemu ya mwanza ilienda simiyu! Tena ni sehemu muhimu sana ina mji mdogo wa Lamadi!
 
Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!
 
Kahama uilinganishe na Njombe? Hayo yatakua matusi. Kahama ni habari nyingine. Kahama sasa labda ujumlishe njombe na Songwe ndio wataifikia.
Acha ujinga, Kwani Kahama kuna Nini Cha ziada zaidi ya kale kamgodi??.Muda si mrefu Mtakuja kung'aza pua zenu huku.Maana baada ya miaka mitano Kilimo Cha Parachichi kitakuwa kime shine Sana na ngoma inaruka hadi Ulaya,Tuna chai,tuna miti ya mbao ndo tunahudumia sehemu kubwa ya TZ na nyingine tunauza nchi jirani,Sasa hivi kuna ishu ya Vanilla, Kiazi sisemi.Njombe tuna green gold,Time Will tell.
 
Ngoja niwashtue, wasukuma wenzangu njooni kigamboni tufukuze waswahili kuna ardhi huku miliioni chache tu.
Hivi hujui Kigamboni inawasukuma wengi sana na wanamageto ya maana sana hawana kelele kama wahaya!
 
Mimi nimeamua nikae kimya tu.

Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli[emoji23][emoji848]

Ni mbingu na Ardhi kabisa.

Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.

Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa [emoji848][emoji23][emoji23]

Yaan takwimu za bongo bwana[emoji23][emoji23]
Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
 
Back
Top Bottom