Kaka nyinyi ilikuwa zamani! Saizi hakuna mtu anahangaika na mhaya kwenye utafutaji kanda ya ziwa ni wasukuma, wakurya na waha! Kama hutaki endelea kubisha! Hata Bukoba maduka mengi ni wachaga, wasukuma na waha! Mmebaki kubishana!Huwezi ukawa na akili timamu ukalinganisha maendeleo yaliyopo huko vijijini uhayani na usukumani hata kidogo.
Kwa Kanda ya ziwa hakuna mkoa wenye maendeleo vijijini Kama kagera . Just imagine wilaya ya muleba Ina shule zaidi ya 300 na hospital 4.
Wakati huko usukumani Kuna wilaya hazina hospital kabisa na hata lami haipo kabisa tofauti na barabara kuu[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!
Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
Ok nimekusoma! Ila kama nilivosema pale wahaya hawana chao!Naomba nisahihishe hapa, Katoro haijawahi kuwa uhayani toka ukoloni. Buseresere ndio i( Lusubi ) ndio ilikuwa uhayani lakini Katoro (Buyombe) ilikywa Geita toka ukoloni. Hivyo siyo kweli kwamba eti Katoro ilikuwa uhayani.
Wew tumia akili yako linganisha umaskini uliopo huko shinyanga vijijini na hiyo GDP yao ndo uje kujisifia hapa.Sio mimi mkuu data ndio zinaleta porojo hatuwaon kwenye data!
AU zimepikwa unazo halithi utupatie
Eti wasukuma ni habari nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] habari gan.Lazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
Nawe nenda vyuoni, kwenye mahospitali,mashule,viwanda na ofisi za umma kibao utazame wahaya walivyojazana huko.Kwa hiyo uhayaji kuna nini? Nenda hata mwanza ,kahama au katoro niambie kuna vijana gani wa kihaya wanachakarika ukilinganisha hata na wasukuma, waha au wakurya? Kanda ya ziwa wanaume ni wasukuma na wakurya!
Naona huko unasifia miji hiyo yenye mirundikano ya nyumba zilizojengwa hovyo hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
Mimi ninaongelea vijijini wew unakwepa unasema mijini.Kaka nyinyi ilikuwa zamani! Saizi hakuna mtu anahangaika na mhaya kwenye utafutaji kanda ya ziwa ni wasukuma, wakurya na waha! Kama hutaki endelea kubisha! Hata Bukoba maduka mengi ni wachaga, wasukuma na waha! Mmebaki kubishana!
Katoro na uhayani wap na wap.Kaka uhayani mliwahi kupata elimu ila wahaya sio wapambanaji watu wa mashauzi angalia katoro ilikuwa kwenu asilimia kubwa wameitawala wasukuma na waha!
Mzee umeandika nini?Yani tanga inakimbiza arusha na Kilimanjaro hapana aisehh hizi data sio za kupika, halafu sioni iringa hapo Dodoma
Ndugu yangu punguza mbwembwe, mradi wa LNG Lindi utakua na thamani ya trion 70 au zaidi wakati GDP ya mwanza ni trion 10.95. Baada ya huo mradi kuanza sio kwamba mwanza itapitwa hata dar itasubir kwa Lindi. Bagamoyo Business Park(inakadiriwa na trion 20+) pwani itaizidi mwamza kwa GDP ikitokea bagamoyoBusiness park imeanza. Siku ukisikia Liganga na Mchuchuma imeanza tegemea kusikia mkoa mwingne umeipiku mwanza kwa GDP. Hayo nliyoasema yanaweza kutokea ndani ya miaka mitano kuanzia sasa na upepo ukabadilika hiyo mwanza unayoisema hata kwenye tatu bora inaweza isiwemo, kwa hiyo kua makini na kauli yako ya kua haitokaa itokeeHakuna na wala hautakuwepo sisi washindani wetu ni Dar peke yake nje hapo hakuna mkoa giant mwingine wakuitishia Mwanza.
Hizo ngonjera za hii CCM ya sasa yeny3 maneno mengi na ufisadi unategemea maajabu! Itakuwa kama mtwara wakati wa kikwete! Matokeo sifuri!Ndugu yangu punguza mbwembwe, mradi wa LNG Lindi utakua na thamani ya trion 70 au zaidi wakati GDP ya mwanza ni trion 10.95. Baada ya huo mradi kuanza sio kwamba mwanza itapitwa hata dar itasubir kwa Lindi. Bagamoyo Business Park(inakadiriwa na trion 20+) pwani itaizidi mwamza kwa GDP ikitokea bagamoyoBusiness park imeanza. Siku ukisikia Liganga na Mchuchuma imeanza tegemea kusikia mkoa mwingne umeipiku mwanza kwa GDP. Hayo nliyoasema yanaweza kutokea ndani ya miaka mitano kuanzia sasa na upepo ukabadilika hiyo mwanza unayoisema hata kwenye tatu bora inaweza isiwemo, kwa hiyo kua makini na kauli yako ya kua haitokaa itokee
Ila wewe unajifanya mjuaji tu! Kwenye vijiji vingi usukumani kuna nyumba kali tu unaleta maneno au ulishakalilishwa kuwa wasukuma wahawezi kuwa na maisha mazuri!Mimi ninaongelea vijijini wew unakwepa unasema mijini.
Mzee kamatia hapo hapo vijijini ambako ndo Kuna 90% ya wasukuma elezea ukweli kulivyo na umaskini wa kutisha[emoji23][emoji23]
Hiyo bukoba ni mji na ili uendelee unahitaji makabila mengi Tena tofauti sio kabila moja.
Ila huko vijijini bukoba hamtakaa mpafikie kamwe kwa maendeleo hata kagera ikiwa ya mwisho kwa GDP.
Kwa taarifa yako dalili za uwekezaji wa gesi zishaanza kuonekana.Ndani ya miaka mitano ile kauli ya kua mwanza haitokaa izidiwe na mkoa mwingne zaidi ya dar itaisha.Hizo ngonjera za hii CCM ya sasa yeny3 maneno mengi na ufisadi unategemea maajabu! Itakuwa kama mtwara wakati wa kikwete! Matokeo sifuri!
Wasukuma walicholeta kwa Wahaya ni nyumba za nyasi, yaani ni kama mmechanjiwa aisee mnatuharibia mandhariLazima ukae kimya huna namna. Maeneo mengi ya uhayani yametekwa na wasukuma kama kyamuyorwa, Buligi na Karagwe ardhi inazidi kununuliwa na wasukuma ! Inabidi ukubali msukuma ni habari nyingine.
SawaOfisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.
Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.
Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.
Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.
Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.
Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.
Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.
====
Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Sijaiona shimiyu mkuluMkuu nikusahihishe..
Kanda ya Ziwa Mara,Mwanza,Kagera,Geita na Shinyanga.
Kanda ya Mashariki
Dar,Pwani na Morogoro.
Kanda ya kati
Dodoma,Singida na Tabora
Kanda ya Kaskazini
Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Kanda ya kusini
Lindi,Mtwara,Ruvuma
Kanda ya Magharibi
Kigoma,Katavi, Songwe..
Nyanda za juu Kusini
Mbeya,Iringa,Njombe
..............
So obviously Kanda ya Mashariki ndio kinara.
shikamooo kwa andikoTuna Ziwa, tunauza zaidi ya 90% ya samaki zinazouzwa nje ya nchi.
Tunauza zaidi ya 90% ya pamba inayozalishwa Tanzania, tunazalisha sisi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya dhahabu nje na ndani ya nchi.
Tunazalisha na kuuza 100% ya almasi ndani na nje ya nchi.
Tunazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya kahawa nje na ndani ya nchi.
Tuna Serengeti, ambayo inavutia zadi ya 80% ya watalii wanaoitembelea Tanzania kila mwaka. Serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila Serengeti wazungu Tanzania tungeishia kuwaona kwenye tv.
Hivyo kwa kuleta zaidi ya 80% ya watalii Tanzania, tunaingiza zaidi ya 80% ya mapato ya utalii Tanzania.
Mifugo, usisahau tunafuga na kuzalisha zaidi 50% ya mifugo na mazao yake kama ngozi, maziwa, pembe, mapumbu, nk😂. Tanzania.
Kagera inazalisha na kuuza zaidi ya 50% ya ndizi zote Tanzania.
Tuna wanaume jasiri kuliko wanaume wa makabila yote Tanzania, wako Mara.
Tuna wanawake warembo, weusi, walioumbika na wenye shape nawanaomwaga maji Tanzania nzima wako Kagera. Wanawake weupe warefu wa kisukuma na wanawake jasiri roho ngumu wa Mara😂.
Wanawake wa mara kwa ujasiri wanazidi wanaume wa mikoa ya pwani na Iringa.
Wife anaona ametoka bafuni na taulo tu hapa ameniita, narudi.
Your brain imeliona Hilo tu.ayaHuhitaji kulima mkuu uli upate chakula.. Unahitaji brains and cash…..