Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Kwa hiyo waganda ni mhimu kuliko wasukuma? Yaani nyinyi mshabaki utaahiara tu hamna lolote kazi yenu umalaya basi!
Ni muhimu mara mia maana wenyewe wanakuja kufanya biashara ila wasukuma wanakuja kujenga nyumba za tembe huku na kutuharibia mandhari na kututia aibu
 
Wale familia nying wanamilik ngo'mbe za kutosha unazungumzia umaskin gan?
Ng'ombe 1000 hat wew huwafikii
 
Mwanza imebebwa na jiji, ila huko vijijini ni njaa tupu, anzia sengerema, kwimba, ukerewe n.k. Na kama jiji ndo limebeba mkoa usifikir ni wasukuma, wageni ndo wanaendesha jiji wasukuma wamebaki kuwa vibarua
Mbona Bukoba imeshindwa kuzibeba wilaya nyingine kama ilivyo Mwanza?

Kagera ni choka mbaya, anzia nyakanazi, lusahunga, nenda hadi benaco, puta njia ya porini utokee misenyi hadi bukoba kote huko ni njaa tupu. Pitia Biharamulo, Muleba na kwingineko kote huko ni njaa tupu.

Kagera hunidanganyi kitu, nimezunguma Kagera yote hadi vijijini, kote ni hovyo.
 
Huo umaskin wa kutisha wa nyumba?
Wale wanamiliki ng'ombe za kutosha huko vijijin wewe huoni ndan
 
Hivi hujui Kigamboni inawasukuma wengi sana na wanamageto ya maana sana hawana kelele kama wahaya!
Naamini wasukuma tunaongoza kuwa na mabilionea wengi hapa tanzania na afrika mashariki baada ya Congo, soko la madini pale kahama kuna wasukuma wana balaa kubwa ila wapo kimya hakuna kelele.
 
Acha kulinganisha jamii kubwa yenye nguvu afrika mashariki na tujamii tudogo tudogo, sisi ni wakoloni hamuoni tunavyo sambaa nchi yote hii.
 
Mwanza ni makao makuu ya kanda ya ziwa ndugu, hivi unajua ni uwekezaji kiasi gani unafanywa na serikali kwa kigezo hicho?? Uchumi wa jiji la Mwanza huwezi kuuita wa wasukuma. Nani kakwambia biharamulo na ngara ni Wahaya alafu mbaya zaidi huko ndo mmejazana mnaeneza umaskini. Mwanza hakuna wilaya ya kulinganisha na misenyi au muleba ukiacha jiji
 
Sawa...mtu ukitembelea sehemu ukiwa na mentality ya wivu na roho mbaya huwezi ona uzuri wa mahali.
 
anayeongoza angepatikana kwa kutumia formular ya 'per capita income' ... mkoa kama kilimanjaro ni mdogo na watu wachache hawezi ulinganisha na morogoro au mwanza ... pato ligawanywe kwa idadi ya watu
 
Hivi wewe kumbe ni mpuuzi hakuna sehemu isiyo kuwa na masikini hata marekani wapo! Ila kubali tu kanda ya ziwa sio level yenu!
Ila huko lake zone wamezidi,ndio wanaifanyia Tzn kuonekana ya kishamba sababu yenu.
 
Hayo ni maamzi ,
Sio ajabu kwa kule ng'ombe 1000 hat wew mweny nyumb huwafkii
Kajifunzeni sedentary farming huko bukoba vijijini.
Watu wanafuga ng'ombe wa maziwa huko vijijini kisasa. Sio kumiliki ng'ombe wengi na kuharibu mazingira.

We huoni bukoba kulivyo na uoto mzr na hali ya hewa nzr kuliko sehemu yoyote kwa sababu ya utunzaji wa mazingira
 
Wadanganye wajinga na mashoga wenzako huko ambao hawaijui kagera. Muleba na misenyi nazijua kila kijiji hunidanganyi kitu. Kote huko ni choka mbaya, ni migomba tu.

Ngara na Biharamulo hakuna wasukuma, ngara ni warudi na wanyarwanda na hata Biharamulo pia, Misenyi.

Kwa kukusaidia ili usije kudhani nina exposure ndogo kama yako ni kwamba, Tanzania nzima nimefika kila wilaya na karibu 80% ya vijiji vyote kwa muda wa zaidi ya miaka 10 ambayo imenifanya nizunguke nchi mzima.
 
Mbona mnazidiwa na kahama huk mnafanya kilimo cha kisas namna hiyo.
Kanda ya ziwa ilifanya kilimo mpaka pamba ikaitwa dhahabu nyeupe mnakwama wapi mkuu?
Kahama inatuzidi nini? Mil.400? Mwaka huu tunawachapa ..

Watu wenyewe mumerundikana kama sisimizi afu mnatuzidi mil.400 ndio unajipiga kifua?🀭🀭

Your popn is twice ours afu mnajipiga kifua? 🀣🀣

 
Umeongea.kwa kifupi tukisema tuangalie umasikini wa mtu mmoja mmoja takwimu zitageuka upside down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…