Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Wasukuma si waenda.hapo kwenu sikonge wabadili hizo tembe mnazoita nyumba si Wana pesa hai 🀣🀣
Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.
 
Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.
Kwa hiyo vile vijumba vingi vingi vya nyasi huku mmezungukwa na nzi sababu ya ng'ombe na punda ndo utajiri [emoji23][emoji23]!!!
 
Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.
Mwambie huyo! Hao ni wale mazezeta walishakaririshwa wasukuma si kitu! Lakini mtu yeyote makini anajua wasukuma mziki wao si wakitoto! Wahaya kelele sana!
 
Kwa hiyo vile vijumba vingi vingi vya nyasi huku mmezungukwa na nzi sababu ya ng'ombe na punda ndo utajiri [emoji23][emoji23]!!!
Napenda sana kusafiri lakini hizo nyumba za nyasi usukumani sijawahi kuziona nikiwa napita barabarani kuelekea mikoani.
 
Mpangilio wa Rukwa na Katavi unaleta shaka.
 
Leta gdp ya mikoa yote nikuoneshe simiyu ilipo unakuwa na jinga fulani hivi una ubishi wa kisen%& sana.
Huna akili ,GDP ya mikoa yote niitoe wapi wakati wenye Kazi hiyo hawajaiweka ? Wameona Simiyu ichangie Shinyanga na Mwanza πŸ˜„πŸ˜„
 
Mikoa ya Mbeya na Songwe, Arusha na Manyara, Iringa na Njombe kabla haijatengwa ilikuwa vizuri.
 
Napenda sana kusafiri lakini hizo nyumba za nyasi usukumani sijawahi kuziona nikiwa napita barabarani kuelekea mikoani.
Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…