Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ndio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular 🤭🤭Sikonge nimesoma, home Shinyanga region. Sukuma ni jamii kubwa isiyo na njaa njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular 🤭🤭Sikonge nimesoma, home Shinyanga region. Sukuma ni jamii kubwa isiyo na njaa njaa
Jibu hoja, Takwimu za Simiyu ziko wapi? Au sio mkoa?Unapenda ligi za kitoto
Leta data tuone huo umaskin.Data gani,hao hao NBS ndio wanasema mnaongoza kwa umaskini. 😝😝
Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.Wasukuma si waenda.hapo kwenu sikonge wabadili hizo tembe mnazoita nyumba si Wana pesa hai 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee nimecheka sana, kwamba jamaa maendeleo ni kubadilisha figure ya tembe [emoji23][emoji23]Ndio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular [emoji2960][emoji2960]
Ukitoa ngorongoro kuna nini cha zaidi huko arusha, acha kukariri.Hizo data zina walakini. Arusha nilitarajia iwepo kwenye top 3.
Mbeya per Capita 3,700,,Njombe 3100 vs Mwanza 2600 ..😝😝Leta data tuone huo umaskin.
Mbona hizi wameleta
Leta gdp ya mikoa yote nikuoneshe simiyu ilipo unakuwa na jinga fulani hivi una ubishi wa kisen%& sana.Jibu hoja, Takwimu za Simiyu ziko wapi? Au sio mkoa?
Kwa hiyo vile vijumba vingi vingi vya nyasi huku mmezungukwa na nzi sababu ya ng'ombe na punda ndo utajiri [emoji23][emoji23]!!!Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.
Mwambie huyo! Hao ni wale mazezeta walishakaririshwa wasukuma si kitu! Lakini mtu yeyote makini anajua wasukuma mziki wao si wakitoto! Wahaya kelele sana!Nyumba za tembe zipo Mkoa wa dodoma ndo asili yao toka enzi, msukuma hana asili ya kujenga nyumba za tembe acha upumbavu.
Mkoa mzima wa Mwanza una watu karibia milion 5, lkn pia nasubiri takwimu za mwaka huu gdp per capital itakuwa yangap.Mbeya per Capita 3,700,,Njombe 3100 vs Mwanza 2600 ..😝😝
Hizi hapa as per NBS
View attachment 1969921
Itazidi kushuka 🤣🤣, population growth ni kubwa Sana 👇Mkoa mzima wa Mwanza una watu karibia milion 5, lkn pia nasubiri takwimu za mwaka huu gdp per capital itakuwa yangap.
Napenda sana kusafiri lakini hizo nyumba za nyasi usukumani sijawahi kuziona nikiwa napita barabarani kuelekea mikoani.Kwa hiyo vile vijumba vingi vingi vya nyasi huku mmezungukwa na nzi sababu ya ng'ombe na punda ndo utajiri [emoji23][emoji23]!!!
Mpangilio wa Rukwa na Katavi unaleta shaka.Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.
Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.
Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.
Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.
Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.
Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.
Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.
====
Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Leta link hizi screen shoot katika karne ya information age hazina nafasi.Mbeya per Capita 3,700,,Njombe 3100 vs Mwanza 2600 ..😝😝
Hizi hapa as per NBS
View attachment 1969924
Huna akili ,GDP ya mikoa yote niitoe wapi wakati wenye Kazi hiyo hawajaiweka ? Wameona Simiyu ichangie Shinyanga na Mwanza 😄😄Leta gdp ya mikoa yote nikuoneshe simiyu ilipo unakuwa na jinga fulani hivi una ubishi wa kisen%& sana.
Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!Napenda sana kusafiri lakini hizo nyumba za nyasi usukumani sijawahi kuziona nikiwa napita barabarani kuelekea mikoani.
Source zenu uchwara,taarifa kamili hii hapa👇Mpangilio wa Rukwa na Katavi unaleta shaka.
Hiyo ndo NBS we hukumbuki tulivyopigwa kwa Dodoma eti iliongoza kwa mapatoMpangilio wa Rukwa na Katavi unaleta shaka.