Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
 
Mimi sio muhaya mimi ni mswahili tu kutoka Mwanza, nazani hujanielewa nimeandika kwamba sijawahi kuona nyumba za nyasi usukumani nikiwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda mikoani.
 
Mchora ramani kakosea position za baadhi ya mikoa, hivi hawa watu huwa hawafanyi proof reading kabla ya ku publish.....
 
Mwambie huyo wahaya wengi wako Mwanza na Geita. Wamekimbia njaa kwao. Chezea sukumaland weye.
 
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana masina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kanyigo misenyi
 
Hii nchi imejaa chuki na ubaguzi kwa baadhi ya maeneo, au wanaogopa Mwanza ikipewa kipaumbele itaifunika Dar so wanaamua kuneutralize tu.
Kwa hali hii hapa kweli mnastahili kipaombele..

Mwanza inaongoza kwa umaskini 😭😭



 
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
Hizo sehemu hujawahi kufika tangu lini kanyigo ikawa bukoba [emoji23][emoji23]

Yaan muongo njia yake fupi
 
Hiyo ndo NBS we hukumbuki tulivyopigwa kwa Dodoma eti iliongoza kwa mapato
Usiniletee povu na kilio ,kawauloze wao hadi sasa rekodi zinasema mko top 5 ya maskini.

Wakileta za kuwa favour unakubali wakileza za kuonyesha mnavyoishi kama nguruwe unachukia πŸ˜€πŸ˜€..

NBS wanasema hivi πŸ‘‡ πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…