sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Njombe jilinganisheni na Moshi ambapo ukitoka stand mbali na kuona miti mirefu hakuna jipya.Ndio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular 🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njombe jilinganisheni na Moshi ambapo ukitoka stand mbali na kuona miti mirefu hakuna jipya.Ndio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular 🤭🤭
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !Sawa unaweza ukawa umezunguka lakini akili bado imeganda.
1. Ushoga Bukoba uliukuta sehemu gani??
2. Biharamulo unasema eti wasukuma hawajajazana kule?? Hujui unachokiandika hapa
3. Zaidi ya asilimia 90 Wahaya Bukoba wanaishi vijijini so huo utajiri wa Bukoba ni kutoka vijijini
4. Huko kwenu mlikopafanya jangwa mtakufa na njaa wakati wazungu wanchota dhahabu wanaondoka
Hiyo basisi ya ukokotoaji na ndivyo itakavyokua.Kama gdp ikiwa inakokotolewa hivyo basi Lindi utakuwa mkoa wa kwanza kwa mapato miaka yoteee.
Huwa nawaza sana hivi serikali haiioni hii Mwanza? Mwanza kibiashara ni hatari sana chiefMwanza haipewi kipao mbele mda mrefu! Lakini kama wangewekeza sana ingekuwa inakimbizana na Dar!
Mimi sio muhaya mimi ni mswahili tu kutoka Mwanza, nazani hujanielewa nimeandika kwamba sijawahi kuona nyumba za nyasi usukumani nikiwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda mikoani.Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!
Hata sasa iko vizuriMikoa ya Mbeya na Songwe, Arusha na Manyara, Iringa na Njombe kabla haijatengwa ilikuwa vizuri.
Mchora ramani kakosea position za baadhi ya mikoa, hivi hawa watu huwa hawafanyi proof reading kabla ya ku publish.....Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.
Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.
Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.
Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.
Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.
Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.
Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.
====
Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Lindi kuchweleee!Hiyo basisi ya ukokotoaji na ndivyo itakavyokua.
Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!
Hii nchi imejaa chuki na ubaguzi kwa baadhi ya maeneo, au wanaogopa Mwanza ikipewa kipaumbele itaifunika Dar so wanaamua kuneutralize tu.Huwa nawaza sana hivi serikali haiioni hii Mwanza? Mwanza kibiashara ni hatari sana chief
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Ndio unavyojifariji sio? Bado NBS hawajabadilisha hizi Takwimu hapa chini 👇Njombe jilinganisheni na Moshi ambapo ukitoka stand mbali na kuona miti mirefu hakuna jipya.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana masina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
Kwa hali hii hapa kweli mnastahili kipaombele..Hii nchi imejaa chuki na ubaguzi kwa baadhi ya maeneo, au wanaogopa Mwanza ikipewa kipaumbele itaifunika Dar so wanaamua kuneutralize tu.
Hizo sehemu hujawahi kufika tangu lini kanyigo ikawa bukoba [emoji23][emoji23]Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
Usiniletee povu na kilio ,kawauloze wao hadi sasa rekodi zinasema mko top 5 ya maskini.Hiyo ndo NBS we hukumbuki tulivyopigwa kwa Dodoma eti iliongoza kwa mapato
Duuh ndio maendeleo hayo????[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanyigo misenyi
Sio tuu link nakupa full pdf si unajifanya hujaona,pakua hapa 👇Leta link hizi screen shoot katika karne ya information age hazina nafasi.
Hizi data za leo mbona hamziamin au zimepikwa?
Hapo unaongelea wamasai sasa. Giants of Tanzania hatujengi tembe mkuuNdio maana umepauka akili yaani wewe ulikuwa unabadili tembe ya mviringo kwenda tembe rectangular 🤭🤭
We hushangai vijijini Kuna umeme, barabara ya lami na nyumba nzr .Duuh ndio maendeleo hayo????
Zile takwimu zilipikwa na mwendazake maksudiDodoma vipi?
Mwaka Kama iliongoza kwa makusa yo ya Kodi kuliko mikoa yote Tanzania.