Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Sawa unaweza ukawa umezunguka lakini akili bado imeganda.
1. Ushoga Bukoba uliukuta sehemu gani??
2. Biharamulo unasema eti wasukuma hawajajazana kule?? Hujui unachokiandika hapa
3. Zaidi ya asilimia 90 Wahaya Bukoba wanaishi vijijini so huo utajiri wa Bukoba ni kutoka vijijini
4. Huko kwenu mlikopafanya jangwa mtakufa na njaa wakati wazungu wanchota dhahabu wanaondoka
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
 
Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!
Mimi sio muhaya mimi ni mswahili tu kutoka Mwanza, nazani hujanielewa nimeandika kwamba sijawahi kuona nyumba za nyasi usukumani nikiwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda mikoani.
 
Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza.

Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine.

Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga na Geita kwa jumla ya Trilioni 25 sawa na mkoa wa Dar es Salaam.

Kanda ya kaskazini, pato la mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ndio inafikia pato la mkoa wa Mwanza. Utajiri wa Arusha, Kilimanjaro na Tanga ni sawa na utajiri wa Mwanza na Shinyanga.

Kwa Takwimu za NBS, ukitoa Dar, kanda inayofuatia kwa utajiri ni anda ya ziwa, ikifuatiwa na Kaskazini huku Kusini kwa Lindi, Mtwara na jirani yao Pwani wakishika mkia.

Kanda ya nyanda za Juu kusini Mbeya inawabeba ila imezungukwa na mikoa choka mbaya kama Katavi na Njombe hivyo kuchangia kanda hiyo kuonekana ni choka mbaya mbavu za mbwa.

Watu wa Mara tukomae tuiondoe kilimanjaro ama Ruvuma hapo juu tuingie top 10.

====

Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6
View attachment 1969823
Mchora ramani kakosea position za baadhi ya mikoa, hivi hawa watu huwa hawafanyi proof reading kabla ya ku publish.....
 
Mwambie huyo wahaya wengi wako Mwanza na Geita. Wamekimbia njaa kwao. Chezea sukumaland weye.
Hata ukianzia tinde mpaka mwanza harafu mwanza mpaka katoro huyu atuambie sehemu gani kuna tembe. Yaani senta zote maganzo, nhunumalwa,usagara, kasamwa mpaka katoro! Ukija kahama kagongwa isaka mpaka segese kuna nyumba ya tembe? Huna hoja kubali matokeo nyinyi wahaya ilikuwa zamani!
 
Njombe jilinganisheni na Moshi ambapo ukitoka stand mbali na kuona miti mirefu hakuna jipya.
Ndio unavyojifariji sio? Bado NBS hawajabadilisha hizi Takwimu hapa chini 👇

Screenshot_20211010-095238.png


Screenshot_20211010-095306.png
 
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana masina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kanyigo misenyi
GYYYY.PNG
 
Hii nchi imejaa chuki na ubaguzi kwa baadhi ya maeneo, au wanaogopa Mwanza ikipewa kipaumbele itaifunika Dar so wanaamua kuneutralize tu.
Kwa hali hii hapa kweli mnastahili kipaombele..

Mwanza inaongoza kwa umaskini 😭😭

Screenshot_20211010-095238.png


Screenshot_20211010-095306.png
 
Tangu lini sukumaland ikaagiza chakula Kagera ? Ninyi ndio mnaagiza mpunga toka usukumani. Kwa kweli Nilifika Kagera maeneo ya Kanyigo hali ni mbaya sana mashina ya migomba kama mguu wa mbuzi. Kwadanganye wasiofika Bukoba !
Hizo sehemu hujawahi kufika tangu lini kanyigo ikawa bukoba [emoji23][emoji23]

Yaan muongo njia yake fupi
 
Hiyo ndo NBS we hukumbuki tulivyopigwa kwa Dodoma eti iliongoza kwa mapato
Usiniletee povu na kilio ,kawauloze wao hadi sasa rekodi zinasema mko top 5 ya maskini.

Wakileta za kuwa favour unakubali wakileza za kuonyesha mnavyoishi kama nguruwe unachukia 😀😀..

NBS wanasema hivi 👇 👇

Screenshot_20211010-095238.png


Screenshot_20211010-095306.png
 
Back
Top Bottom