Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Kama hizo trioni zote zipo huku mikoani....mbona mifukoni hatuna kitu? Au ni Mimi tu nisiye na kitu mfukoni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe bado unadhihirisha kwamba hujui kitu. Hakuna ng'ombe anaetoka usukumani kuja uhayani
 
Kiuhalisia Dodoma walikua wanaipamba tu lakini hakuna kitu
usichangie Kama hujui au hujaelewa mkuu!! kunatofauti makusanyo ya halm(kuvuka lengo lao),na utajili wa mkoa(raslimali ). nimeona nikusaidie ili twende pamoja kwenye mada !!
 
Chakula kingi kinatoka nyanda za juu kusini mbeya,njombe,iringa,songea,songwe
 
Nilishangaa sana ile taarifa ya kiwendawazimu, eti kuna wakati Dodoma ilikuwa juu kimapato.
Hata mtoto wa std 3 hawezi kukubali.
 
Licha ya hizo takwimu hizi mikoa hazinufaiki na ha hayo makusanyo mfano Geita!,
Iko na miundo mbinu mibovu tofauti kabisa na utajiri wake, barabara mbovu za vumbi mfano Geita-Kahama!

Maji ya shida, barabara za mitaa ndio usiseme
 
Umehitimisha sivyo. GDP ni jumla ya huduma na bidhaa zinazozalishwa, kuimport, kuexport na uwekezaji katika eneo husika ikielezewa katika sarafu ya eneo au nchu husika au Dola ya Kimarekani.
 
I am very surprised by Njombe. How is it possible kushuka chunk kiasi hicho in a span of 4 years?
 
Ufahamu: Naomba kujua vyanzo vya mapato kwa mkoa wa Morogoro
 
Wakati naenda huko ilikuwa ni wilaya ya Bukoba. It was 2008, kabla wilaya ya Misenyi haijazaliwa.
Hizo sehemu hujawahi kufika tangu lini kanyigo ikawa bukoba [emoji23][emoji23]

Yaan muongo njia yake fupi
 
Acha kudanganya njoo nikupeleke Sengerema, Buchosa na Geita vijijini uone nshomile walivyojaa na ukiwaambia warudi Kagera wanakupiga mawe.
Mhaya hawezi kutoka Bukoba akaja misungwi, ngudu au sijui geita vijiji huko maana kuna maisha magumu. Wahaya wapo Mwanza mjini maofisini au wanafanya biashara, wasukuma ndo wanatoka huko vijijini wanakimbia njaa na ukame
 
Huo ndio ukweli mchungu
 
Baaadhi ya wahaya mataahira sana! Mara wanajilinganisha na wachaga mara masukuma! Yaani watu mliokalia kusoma tu bila kujiongeza mtakuja kuwafikia hao watu? Maisha ni zaidi ya kusoma Street education!
Khaaaa, wape vidonge vyao hawa jirani zetu mimi nawapenda sana ila huwa wanajiinua sana tu
 
Hakuna kitu msingekimbilia Rocky City na Gold City. Wahaya walikuwa zamani sasa hivi wakifa wengi tunazika huku huku sukumaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…