Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe bado unadhihirisha kwamba hujui kitu. Hakuna ng'ombe anaetoka usukumani kuja uhayaniWewe lete ngonjera hapa! Bila hao wasukuma ungekuwa unakula nyama? Unafikiri sekta ya mifugo haina mchango hao wasukuma wanazunguka na mifugo ni wote? Lini umekuja ukakuta wasukuama wote hawapo mwanza simiyu shinyanga na geita? Unarusha vi picha sisi tunaifahamu kagera nyinyi mlishachuja kitambo! Hamna la maana hapo hata mji wenu mi ujingaujinga tu! Hata geitai awazidi mda si mrefu!
usichangie Kama hujui au hujaelewa mkuu!! kunatofauti makusanyo ya halm(kuvuka lengo lao),na utajili wa mkoa(raslimali ). nimeona nikusaidie ili twende pamoja kwenye mada !!Kiuhalisia Dodoma walikua wanaipamba tu lakini hakuna kitu
Chakula kingi kinatoka nyanda za juu kusini mbeya,njombe,iringa,songea,songweKwa kuongezea Kuna yule mwanamke wa Mara alimnyang'anya jambazi smg kabisa ikiwa na risasi zimejaa kwa magazine.
Yaani ulivyoipamba lake zone.
Wangekuwa ndugu zetu ukanda Fulani wangekomaa wajitenge Mana wananyonywa na wakanda wengine.
Na ndo Mana wanataka kuleta Sera ya ukanda.
Jana nacheki itv Siro Mara,mabeyo simiyu wote walikuwa wanaongea sijui Nini.
Lake zone Askari wengi ndio wametokea huku ,tukidai nchi yetu nadhani wengine mtakufa njaa Mana chakula kingi kinatokea huku
Umehitimisha sivyo. GDP ni jumla ya huduma na bidhaa zinazozalishwa, kuimport, kuexport na uwekezaji katika eneo husika ikielezewa katika sarafu ya eneo au nchu husika au Dola ya Kimarekani.Ilikua makusanyo ya ndani, ya halmashauri na sio makusanyo ya kodi.
Sasa kwa makusanyo ya halmashauri walifanya vizuri kuzidi malengo, yaani walikusanya zaidi ya 100% ya malengo ndio maana wakashika namba moja.
Hizo takwimu ni takwimu za utajiri wa mkoa, rasilimali zilizopo na potentiality zake.
Umesoma data za NBS?Niko hapa shida iko kwani
Hizo sehemu hujawahi kufika tangu lini kanyigo ikawa bukoba [emoji23][emoji23]
Yaan muongo njia yake fupi
Mhaya hawezi kutoka Bukoba akaja misungwi, ngudu au sijui geita vijiji huko maana kuna maisha magumu. Wahaya wapo Mwanza mjini maofisini au wanafanya biashara, wasukuma ndo wanatoka huko vijijini wanakimbia njaa na ukame
Humu naona mnabishana tu
Ngoja mimi nitoe views zangu
Kiuhalisia ikitoka jiji la Dsm basi jiji linalokaribia na Dar ni Mwz.
Nimewahi kuishi dar,mwanza,dodoma,mbeya,arusha isipokuwa tanga tu ndo sijaishi ila katika majiji yote hayo linaloongoza kwa kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa ni Dsm ikifuatiwa na mwz.
Na katika majiji niliyokaa jiji linaloshika mkia kwa upande wangu ni dodoma liko overrated sana sio kama yalivyokuwa matarajio yangu.
Mwz kuna mitaaa imechangamka kama vile dar.
Views zangu ni kwamba ukiitoa dar kwa hapa tz hakuna jiji lingine linaloikaribia mwz, tena kama huko juu nimeona members wanafananisha jiji la mwanza na mbeya kwakweli sio sahihi kabisa mwz inakua kwa kasi sana jamani tembeeni Tanzania muone.
Kama kuna mtu amewahi kutembelea hayo majiji yote basi atakuwa anajua nachokiongea.
NB. Hakuna jiji kubwa kwa kila kitu kama Dar kwa hapa Tz.
Hebu nitajie hata msukuma mmoja aliyewahi ingia top ten ya matajiri bongo hii[emoji23]
Nitajie msukuma mmoja aliyewahi fikia utajiri walau nusu ya huyu muhaya mmoja.
View attachment 1970019
Khaaaa, wape vidonge vyao hawa jirani zetu mimi nawapenda sana ila huwa wanajiinua sana tuBaaadhi ya wahaya mataahira sana! Mara wanajilinganisha na wachaga mara masukuma! Yaani watu mliokalia kusoma tu bila kujiongeza mtakuja kuwafikia hao watu? Maisha ni zaidi ya kusoma Street education!
Ndio mkuu, utajiri wa Mwanza ni wa jiji ambapo kimsingi huwezi kuuita utajiri wa wasukuma. Ukienda Shinyanga na geita ni utajiri wa migodi ambao impact kwa raia ni kidogo. Bora Wahaya wanalima kahawa, miti, vanilla, parachichi n.k pesa inaenda kwa wananchi