Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

I am very surprised by Njombe. How is it possible kushuka chunk kiasi hicho in a span of 4 years?
Kwa kweli Sijui wametumia kigezo gani, maana huku tunazalisha mazao yanayouzwa Soko la nje,km vile Parachichi,chai(95%) ya chai inayozalishwa Njombe inauzwa nje ya nchi (Nina ushahidi huo kwasababu nimefanya field kiwanda Cha chai na nimeona kitu hicho),Pia mbao, kiasi fulani zinapelekwa nje ya nchi, Aidha wakati mwingine hata kiazi,Sasa hivi tumeanza kuzalisha vanilla.Lkn yote kwa yote sio shida hata km wakituweka wa mwisho kwa miaka yote sio tatizo kwasababu sisi ndo tunajua utamu wa ngoma,hata hivyo kuwa wa kwanza au wa mwisho haituongezei Wala kutupunguzia kitu.
 
Kanda ya ziwa inabebwa ma migodi.
Watu mnachuki na kanda ya ziwa ati inabebwa na madini! Nadhani huijui kanda ya ziwa. Na unadhani Mbuga na game reserve zote ni za Kaskazini, Unasahau Serengeti na game reserve zipo Bado kanda ya Ziwa. Kuna Mbuga ni Kisiwa tu kinaitwa Rubondo, kuna mbuga ndogo kuliko zote ni kisiwa kiko ndani ya jiji la mwanza.

Kuna misitu mikubwa ya asili maeneo ya mkoa wa geita (Amaizing), Ukifika kwanye hii misitu utapenda Geita inauoto mzuri sana wa asili. Lakini pia kuna misitu maeneo ya Sengerema na Ukerewe kwa ajili ya upasuaji wa mbao.

Kuna shughuli za Uvuvi, ukifika Kirumba kuna soko la kimataifa linahudumia nchi za Congo na zinginezo. Pia kuna viwanda vikubwa vya samaki, hawa samaki uuzwa nje ya nchi. Ndege hutu hapo na kuondoka kwenda nje.

Hii mikoa ya kanda ya ziwa ni wakulima wazuri hivyo biashara ya mazao ni kubwa si ndani ya nchi hata nchi jirani. Ukiongelea dengu, choroko na aina kama hiyo inasafirishwa kwa wingi India, asilimia kubwa inatolewa kanda ya ziwa, hapo ujagusia mchele wa shinyanga.

Lakini kumbuka Mifugo mingi, Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo inatoka kanda ya ziwa. Katazame maelfu ya hao wanyama wanavyosafirishwa kwenda Dar na nje ya nchi.
Kumbuka Mwanza ni hub ya nchi za Africa mashariki, ni kiungo muhimu, miaka ya nyuma nimeishi mwanza, kuna mabasi mengi uleta watalii na hasa wanafunzi, wazazi na walimu wao. Kila wiki utaona mabasi. Niliwauliza kwa nini wanapenda kuja Mwanza. Hapo sijaongelea wafanya biashara toka Sudan kusini, Congo, Rwanda, Uganda na wengineo.

Nikupe siri tu kuna balozi toka nchi za Arabuni alifika Mwanza akitaka wapewe eneo kubwa kwa kilimo hasa maeneo ya Sengerema na Misungwi walihitaji kuwekeza, alisema kanda ya ziwa ni keki. Haya yalikuwa maneno yake.
Kanda ya ziwa ina mabilionea kibao, ila hata siku moja uwezi sikia, na matajiri wakule hawapendi sifa za kijinga kujionesha. KULE NI KAZI KAZI.
Hii ndo kanda ya ziwa, acha kuwaza madini tu. Mbona Kaskzini wana madini pia.
 
Ila ndagu nyingi.
 

Njombe inauza biadhaa zinazofikia hata tirillion 4 kwa mwaka.sijui NBS wanatumia vigezo gani bati Kama ingekua kigezo ni uzalishaji na uuzaji wa bidhaa Njombe iko mbali sanaa
 
Njombe inauza biadhaa zinazofikia hata tirillion 4 kwa mwaka.sijui NBS wanatumia vigezo gani bati Kama ingekua kigezo ni uzalishaji na uuzaji wa bidhaa Njombe iko mbali sanaa
Kuna bidhaa gani huko mnazosafirisha za matriolion ya pesa zaidi ya maparachichi, nyie ni wajinga tu mnategemea maparachichi ndio yawainue mna akili kama fisi maji.
 
Njombe ni ya pili au tatu kwa GDP per capita. GDP per capita ndio kipimo bora zaid kwa sababu hugawanya utajiri kwa mtu mmoja mmoja.
 
 
Enzi za jiwe ungeambiwa imeongoza Dodoma au Chato
 
Wewe ni mwalimu?
Hata huko kwenye ualimu siku hizi ni wachache wanaosumbuka kuelewesha kama ulivyofanya wewe. Siku hizi kila kitu kinafanywa mkato mkato tu mradi CCM iendelee kutawala.
 
Na Rais wa kwanza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…