Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Arusha na Kilimanjaro zimeathirika na kuanguka kwa Utalii.
 
Kijana unatumia blog kama source ya taarifa kweli??
💉💉💉💉Soma hiyoo 👇

Screenshot_20211010-095238.png


Screenshot_20211010-095306.png
 
Humu naona mnabishana tu
Ngoja mimi nitoe views zangu
Kiuhalisia ikitoka jiji la Dsm basi jiji linalokaribia na Dar ni Mwz.
Nimewahi kuishi dar,mwanza,dodoma,mbeya,arusha isipokuwa tanga tu ndo sijaishi ila katika majiji yote hayo linaloongoza kwa kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa ni Dsm ikifuatiwa na mwz.
Na katika majiji niliyokaa jiji linaloshika mkia kwa upande wangu ni dodoma liko overrated sana sio kama yalivyokuwa matarajio yangu.
Mwz kuna mitaaa imechangamka kama vile dar.

Views zangu ni kwamba ukiitoa dar kwa hapa tz hakuna jiji lingine linaloikaribia mwz, tena kama huko juu nimeona members wanafananisha jiji la mwanza na mbeya kwakweli sio sahihi kabisa mwz inakua kwa kasi sana jamani tembeeni Tanzania muone.
Kama kuna mtu amewahi kutembelea hayo majiji yote basi atakuwa anajua nachokiongea.

NB. Hakuna jiji kubwa kwa kila kitu kama Dar kwa hapa Tz.
 
Nani kakataa! Hao wahaya waomiliki shule hixo chache ndo unawalinganisha na wasukuma waliojaa kila sekta yenye uchumi nchi hii?
Hebu nitajie hata msukuma mmoja aliyewahi ingia top ten ya matajiri bongo hii[emoji23]

Nitajie msukuma mmoja aliyewahi fikia utajiri walau nusu ya huyu muhaya mmoja.
Screenshot_20211010-105929.jpg
 
Instanbul ukuje hukuuuuuuuuuuuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baaadhi ya wahaya mataahira sana! Mara wanajilinganisha na wachaga mara masukuma! Yaani watu mliokalia kusoma tu bila kujiongeza mtakuja kuwafikia hao watu? Maisha ni zaidi ya kusoma Street education!
 
Safi Sana mbeya,ila shinyanga na morogoro mko juu Sana bcs hamna hadhi ya jiji lkn mmeyashinda majiji km Arusha,Kilimanjaro.

ila kiukweli,mapato yote ya tanzania ni madogo mno.mikoa mingi imeshuka mfano arusha na Kilimanjaro.

Kanda ya ziwa hongereni sana
 
Kwenye suala na maendeleo Mwanza inakimbia kwa kasi sana, nilikua na miezi kadhaa sijafika Mwanza leo nina wiki niko Mwanza kuna mabadiliko ya kimaendeleo makubwa sana yanayo onekana kwa macho si yakufikirika kuanzia barabara, hudumaza afya na makazi. Kati ya mikoa niliyowahi kufika Mwanza ndio mkoa wananchi wake wana makazi bora sana japo yapo maeneo yenye makazi duni kama Igogo na mabatini tena nahisi hizo tu ndio sehemu zenye makazi duni.

Kwenye afya kuna zaidi ya hospital 5 za kisasa ukianzia bugando ,sekou toure, kamanga hospt aghakan, Tanzanite hospt dispensary karibu kila mtaaa clinic za madactari bigwa zipo za kutosha.

Mwanza mjini watu wako busy na kazi wizi wa kishenzi shenzi wa kuchomoleana upo kwa kiasi kidogo sana, watu wako busy na maisha .
Anyway Mwanza imekua kiuchumi.
Taratibu mkuu, unamfanya Oppotunity Cost afule kama mbogo [emoji3]
 
Savannah,twitange, kiseke, Masaka sekondary school, Ngaseco. hapo geita **** Makoye hospital n.k
Vitu gan unataja hapa[emoji23][emoji23]

Shule Kama hizo zipo vijijini huko muleba. Ni vitu vya kawaida.


Mimi ninaongelea institution zilizoshiba zenye matawi mengi nchini...

Vitu Kama Tusiime, vitu Kama kaizirege, vitu Kama kairuki sio hizi medium school ambazo hata huko kyerwa zipo kibao
 
Baaadhi ya wahaya mataahira sana! Mara wanajilinganisha na wachaga mara masukuma! Yaani watu mliokalia kusoma tu bila kujiongeza mtakuja kuwafikia hao watu? Maisha ni zaidi ya kusoma Street education!
Tulia upewe dozi wewe, alafu uwe unasoma vizuri hakuna Mhaya anayejilinganisha isipokuwa Mhaya akipost kitu humu kujadili maendeleo na mipango ya Wahaya ndo low life wanakuja kujilinganisha wenyewe
 
Vitu gan unataja hapa[emoji23][emoji23]

Shule Kama hizo zipo vijijini huko muleba. Ni vitu vya kawaida.


Mimi ninaongelea institution zilizoshiba zenye matawi mengi nchini...

Vitu Kama Tusiime, vitu Kama kaizirege, vitu Kama kairuki sio hizi medium school ambazo hata huko kyerwa zipo kibao
Wewe si unataka shule? Au mpaka uijue wewe ndo iwe shule au hospital!
 
Baaadhi ya wahaya mataahira sana! Mara wanajilinganisha na wachaga mara masukuma! Yaani watu mliokalia kusoma tu bila kujiongeza mtakuja kuwafikia hao watu? Maisha ni zaidi ya kusoma Street education!
Hiv ni wahaya wanaojilinganisha au ni nyie na shobo zenu mnaojilinganisha na wahaya ambao hawana time na nyie.... Mshawahi ona muhaya anaanzisha Uzi kuponda makabila ya watu.
Ila sasa msukuma au mchaga aanzishe Uzi Lazima akoment kuhusu wahaya Tena in a bad way

Ndo maana mods Kuna komenti wamezifuta Kama ukiangalia vzr Uzi huu


Naonaga mtu mpumbavu anayedharau elimu na watu waliosoma.

Elimu ni kwa ajiri ya kuongeza maarifa Wala sio kuwa Tajiri unapoipata. Na mtu akitumia
 
Wewe unaujua ukweli endelea kupiga ngonjera hapa!
Ndio mkuu, utajiri wa Mwanza ni wa jiji ambapo kimsingi huwezi kuuita utajiri wa wasukuma. Ukienda Shinyanga na geita ni utajiri wa migodi ambao impact kwa raia ni kidogo. Bora Wahaya wanalima kahawa, miti, vanilla, parachichi n.k pesa inaenda kwa wananchi
 
Wewe si unataka shule? Au mpaka uijue wewe ndo iwe shule au hospital!
Hebu angalia huu Uzi tangu mwanzo.

Ndo utajua na anajilinganisha na watu kati ya wahaya na hayo makabila yenu ya kishamba.


Mtu unaongelea GDP za mikoa lakin wanalaumiwa wahaya as wahaya Wana serikali yao tofauti[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom