Pato la taifa Israel kwa mwaka ni $ bilioni 500 (shiling trilioni 1,200), Marekani kuwasaidia $bilioni 3 ni msaada mdogo tu, sio kama unavyokuzwa

New York Times:

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu refused to sign an order to launch a large-scale ground operation in the Gaza Strip for fear of losing the trust of the population if it failed
 
Sasa wewe unafikiri Tanzania chini ya ccm hata ikipewa yote hayo ndio itaendelea si ndio watoto wataacha kabisa kusomea kwenye majengo mabovu haya yaliyopo na kuhamia kabisa chini ya miti.
Hoja hapa sio Israel inatumiaje misaada hoja ni Israel haiwezi kuishi bila misaada kama ilivyo tz haijalishi ana itumia vizuri au vibaya.

Wakati Israel ina tegemea misaada ili kuendelea kuna mataifa kibao haya pewi msaada wowote na zina maendeleo kuizidi Israel.
 
Moja ya nchi zinazoongoza kupewa misaada duniani Tz Ni mojawapo
 
Ukiona hivyo jua hzo nchi zinafaidika na maarifa ya waisraeli
 

na hapo bado palestina nao wanapewa msaada na US hawasemi
 

Aisee...
Wewe muisraeli wa Nyang'wale una kazi kweli kweli...
 
Sasa kama wayahudi waliopo Marekani ndio wanachangia asilimia themanini ya uchumi wa Marekani kwa nini Marekani isitoe mahela mengi kwa baba yao Israel?
 
Hizo nchi zote ulizozitaja zinaisaidia Israel ni nchi za kibepari! Bepari hawezi kukupa hela bure kama hapati faida kutoka kwako! Wabobezi wa Technolojia ya tehama na nyuklia duniani ni hao waisraeli! Tajiri hawezi fanya urafiki na masikini!
We amka! Israel ni kama mkoa wa Marekani na Ulaya. Uliwekwa pale kwa sababu Maalum. Bila hizo nch, Israel ni mwepesi sana.
Israel ina F16 nyingi kuliko nchi yeyote zaidi ya Marekani wenyewe. Na bado katika purukushani za wiki hizi Biden kapeleka Meli ya kivita. Na viongozi wa nchi kibao, wameshatua huko na kupeleka majasusi wao.
 
$3B ni msaada wa Jeshi tu. Hizo ni Hela ambazo Israel anapewa kununulia mabomu, Bunduki na Silaha nyengine anazotumia kufanya mauaji ya wanawake na watoto.

Kampuni Zote kubwa za Marekani zinapewa msamaha ya kodi na Ruzuku nyengine ili zi invest Israel taja jina la kampuni yoyote kubwa ya Marekani IBM, Apple, Microsoft, Google zipo Israel.
 
Sasa kama wayahudi waliopo Marekani ndio wanachangia asilimia themanini ya uchumi wa Marekani kwa nini Marekani isitoe mahela mengi kwa baba yao Israel?
Kamba, Hebu toa huo Mchanganuo Wayahudi wanachangia Asilimia 80
 
Refer Kauli ya Biden kabla hajakua raisi, anasema kama kusingekua na Israel wangetengeneza Israel nyengine Middle East.

Kifupi ni kwamba Zionist ni Puppets wa world order, Hao wamiliki wa Dunia wanawatumia kuhakikisha Middle East inaishia pale pale.

Na ukisoma historia maelfu ya miaka nyuma kuanzia Waroma hadi Crusaders hilo eneo ni Crucial kwa west.
 
Mkuu classmates mwenzangu sikupingi ila source ya hyo $ billion 500 Ni ipii hyo taarifa yako umetoa wapi ? mnk Mara ya mwisho taarifa zangu zina Sema pato la kila musraeli kwa mwaka Ni sawa na tzs milioni 120 kwa mwaka na hi taarifa nilichukuwa mwaka 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…