Pato la taifa Israel kwa mwaka ni $ bilioni 500 (shiling trilioni 1,200), Marekani kuwasaidia $bilioni 3 ni msaada mdogo tu, sio kama unavyokuzwa

New York Times:

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu refused to sign an order to launch a large-scale ground operation in the Gaza Strip for fear of losing the trust of the population if it failed
 
Sasa wewe unafikiri Tanzania chini ya ccm hata ikipewa yote hayo ndio itaendelea si ndio watoto wataacha kabisa kusomea kwenye majengo mabovu haya yaliyopo na kuhamia kabisa chini ya miti.
Hoja hapa sio Israel inatumiaje misaada hoja ni Israel haiwezi kuishi bila misaada kama ilivyo tz haijalishi ana itumia vizuri au vibaya.

Wakati Israel ina tegemea misaada ili kuendelea kuna mataifa kibao haya pewi msaada wowote na zina maendeleo kuizidi Israel.
 
Tz tuna pewa msaada kidogo ukilinganisha na kwa sababu baadhi ya mambo tuna jiweza.
Israel inapewa misaada ya kila aina kwasababu hajiwezi kwa chochote zaidi ya propaganda.

Tz tulisha wahi vamiwa na Uganda na tukaipiga tukaishinda mpaka tukaiteka kampala na jeshi letu lilipigana kwa weledi wa hali ya juu kabisa kwa sababu hawa kwenda kuua watoto, wanawake na kuvunja majumba hovyo hovyo kama vichaa.

Kwa hiyo Tz ni jeshi lenye weledi alafu jeshi la Israel ni kikundi cha wahuni chenye silaha za kisasa.
Moja ya nchi zinazoongoza kupewa misaada duniani Tz Ni mojawapo
 
Halafu mbona unaleta maneno matupu hauleti vyanzo kutoka kwenye taasisi husika?

Halafu kingine hizo $ billion tatu zinazo semwa ni kwa ajili ya kijeshi tu na sio kiuchumi, hivyo kuna misaada mingine ya kiuchumi nje ya hiyo $bilion 3,pia sio Marekani tu Israel inapokea misaada za mabilioni ya $ kutoka nchi zote za umoja wa Ulaya, Uingereza, Canada, Australia na Newzirand.

Halafu nikujulishe kitu kingene kama ulikuwa hujui ni kuwa Nyambizi zote za kijeshi alizo nazo Israel amepewa msaada na Ujerumani.

Pia kingine bidhaa zinazo tengenezwa Israel zimepewa upendeleo maalum wa kutolipa kodi kwa baadhi ya bidhaa na zile zinazo lipiwa kodi zina lipa kodi ndogo, kwenye nchi za Ulaya na Marekani na Canada.
Sasa nchi ya namna hiyo itashindwaje kuwa na maendeleo?
Ukiona hivyo jua hzo nchi zinafaidika na maarifa ya waisraeli
 
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.

Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote kuhusu misaada.

Pesa kwa kiasi kikubwa wanapata kwenye ubunifu wa Teknolojia za Kilimo, Computer, Silaha, mabenki, n.k. Israel ni taifa linalotegemewa na makampuni mengi ya simu na software kwenye kubuni teknojia mpya, karibu kila kampuni kubwa ina ofisi ya ubunifu Israel, hata hizi software za kudukua mawasiliano huwa zinabuniwa huko zinauzwa kwa mamia ya mabilioni.

Nashangaa kuona hizi kelele zinazopigwa kisa Marekani anaipa Israel dola bilioni 3 za msaada, Pengine kwa umasikini wa mataifa yetu ni pesa nyingi sana lakini kwa hali iliyopo Israel hii bado ni pesa ndogo lakini inakuzwa sana kuonekana kwamba bila huu msaada Israel inaanguka.

na hapo bado palestina nao wanapewa msaada na US hawasemi
 
Aisee...
Wewe muisraeli wa Nyang'wale una kazi kweli kweli...
 
Acha kukaza fuvu umesha ambiwa kuwa hizo bilion 3 ni kwa ajili ya silaha tu , kuna mabilion ya $ anapokea kutoka Marekani nje ya hiyo $ bilion 3, bado ana pokea mabilioni ya $ mengine kutoka Ulaya ,Canada, Australia, Newzirand, na Israel bila misaada ni Tz iliyo changamka tu.
Sasa kama wayahudi waliopo Marekani ndio wanachangia asilimia themanini ya uchumi wa Marekani kwa nini Marekani isitoe mahela mengi kwa baba yao Israel?
 
Hizo nchi zote ulizozitaja zinaisaidia Israel ni nchi za kibepari! Bepari hawezi kukupa hela bure kama hapati faida kutoka kwako! Wabobezi wa Technolojia ya tehama na nyuklia duniani ni hao waisraeli! Tajiri hawezi fanya urafiki na masikini!
We amka! Israel ni kama mkoa wa Marekani na Ulaya. Uliwekwa pale kwa sababu Maalum. Bila hizo nch, Israel ni mwepesi sana.
Israel ina F16 nyingi kuliko nchi yeyote zaidi ya Marekani wenyewe. Na bado katika purukushani za wiki hizi Biden kapeleka Meli ya kivita. Na viongozi wa nchi kibao, wameshatua huko na kupeleka majasusi wao.
 
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.

Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote kuhusu misaada.

Pesa kwa kiasi kikubwa wanapata kwenye ubunifu wa Teknolojia za Kilimo, Computer, Silaha, mabenki, n.k. Israel ni taifa linalotegemewa na makampuni mengi ya simu na software kwenye kubuni teknojia mpya, karibu kila kampuni kubwa ina ofisi ya ubunifu Israel, hata hizi software za kudukua mawasiliano huwa zinabuniwa huko zinauzwa kwa mamia ya mabilioni.

Nashangaa kuona hizi kelele zinazopigwa kisa Marekani anaipa Israel dola bilioni 3 za msaada, Pengine kwa umasikini wa mataifa yetu ni pesa nyingi sana lakini kwa hali iliyopo Israel hii bado ni pesa ndogo lakini inakuzwa sana kuonekana kwamba bila huu msaada Israel inaanguka.
$3B ni msaada wa Jeshi tu. Hizo ni Hela ambazo Israel anapewa kununulia mabomu, Bunduki na Silaha nyengine anazotumia kufanya mauaji ya wanawake na watoto.

Kampuni Zote kubwa za Marekani zinapewa msamaha ya kodi na Ruzuku nyengine ili zi invest Israel taja jina la kampuni yoyote kubwa ya Marekani IBM, Apple, Microsoft, Google zipo Israel.
 
We amka! Israel ni kama mkoa wa Marekani na Ulaya. Uliwekwa pale kwa sababu Maalum. Bila hizo nch, Israel ni mwepesi sana.
Israel ina F16 nyingi kuliko nchi yeyote zaidi ya Marekani wenyewe. Na bado katika purukushani za wiki hizi Biden kapeleka Meli ya kivita. Na viongozi wa nchi kibao, wameshatua huko na kupeleka majasusi wao.
Refer Kauli ya Biden kabla hajakua raisi, anasema kama kusingekua na Israel wangetengeneza Israel nyengine Middle East.

Kifupi ni kwamba Zionist ni Puppets wa world order, Hao wamiliki wa Dunia wanawatumia kuhakikisha Middle East inaishia pale pale.

Na ukisoma historia maelfu ya miaka nyuma kuanzia Waroma hadi Crusaders hilo eneo ni Crucial kwa west.
 
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.

Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote kuhusu misaada.

Pesa kwa kiasi kikubwa wanapata kwenye ubunifu wa Teknolojia za Kilimo, Computer, Silaha, mabenki, n.k. Israel ni taifa linalotegemewa na makampuni mengi ya simu na software kwenye kubuni teknojia mpya, karibu kila kampuni kubwa ina ofisi ya ubunifu Israel, hata hizi software za kudukua mawasiliano huwa zinabuniwa huko zinauzwa kwa mamia ya mabilioni.

Nashangaa kuona hizi kelele zinazopigwa kisa Marekani anaipa Israel dola bilioni 3 za msaada, Pengine kwa umasikini wa mataifa yetu ni pesa nyingi sana lakini kwa hali iliyopo Israel hii bado ni pesa ndogo lakini inakuzwa sana kuonekana kwamba bila huu msaada Israel inaanguka.
Mkuu classmates mwenzangu sikupingi ila source ya hyo $ billion 500 Ni ipii hyo taarifa yako umetoa wapi ? mnk Mara ya mwisho taarifa zangu zina Sema pato la kila musraeli kwa mwaka Ni sawa na tzs milioni 120 kwa mwaka na hi taarifa nilichukuwa mwaka 2017
 
Back
Top Bottom