Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Mwananchi angerusha ngumu, Mana anakubalije kuitwa mjinga
Hukuona jamaa alivowahi kumshika mkono. Alijua ngumi lazima irushwe tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwananchi angerusha ngumu, Mana anakubalije kuitwa mjinga
Kamkuta mlokole ilitakiwa hayo meno yake yawe chini siku nyingi,na familia unaniitaje mjinga hali unalishwa na kodi yangu.Kisa nini....kumuita mtu mzima mjinga?? Haiwezekani kamwe kisa ? Vyeo vinapita tena kwa kasi
Nadhani ni yale meno machafu.rais aliona nini ndani ya haka katoto hata akakapa uwaziri?
Nilifikiria uluchofikiria kumbuka ana familia huyo na kibarua pia ......aluchofabya safi sana sidhani huyo dogo atarudia tena siku ingine kusema mjinga...funzo kubwaKamkuta mlokole ilitakiwa hayo meno yake yawe chini siku nyingi,na familia unaniitaje mjinga hali unalishwa na kodi yangu.
Huyu kiongozi hakutakiwa kumwambia mwananchi mpumbavu huku kamshikia mic hadharani,mwananchi alikua na haki ya kulalamika.Hicho kitendo kilitakiwa kukemewa. Turudi kwenye maadili.
Huyu Samia Kim retain kibwengo huyu Ni ushetani mwingineNdio matokeo ya kutumia fedha za kodi vibaya kununulia watu.
fata hiyo link ucheki scenario nzimaHuyu kiongozi hakutakiwa kumwambia mwananchi mpumbavu huku kamshikia mic hadharani,mwananchi alikua na haki ya kulalamika.
Uongozi sio unyapala au ukoloni na kuongozwa sio ufungwa au utumwa .
Heshima na kwa pande zote.
Ukiangalia vizuri viongozi Ni watumishi wetu kwa sababu sisi ndio tumewaajiri.hivyo haipaswi kumfokea mtu Tena hadharani.
Hakuna chochote zaidi ya kuwafanya wapinzani waone ccm kuna fursarais aliona nini ndani ya haka katoto hata akakapa uwaziri?
Asante kwa ufafanuzi japo haiondoi ukweli kwamba Katambi kakosea. Huu ujinga wa kuwauliza watu hadharani kwa lengo la kutatua migogoro ulianzishwa na mwendazake. Na mara nyingi ulikuwa unaishia kwa kumdhalilisha mwananchi.Ila viongozi tusimlaumu Waziri. Kwa tuliokuwepo eneo la tukio huyo kwanza sio mwananchi ni Afisa wa Serikali ambaye ni mmiliki wa Bar na Hotel maarufu hapa Shinyanga. Kuna mwananchi alilalamika kuwa Afisa huyo amepora eneo Lake na kuwekeza ujenzi wa ukuta kuzunguka hotel yake.
Ndipo Waziri Katambi alimtaka huyo mmiliki(Afisa mifugo, hapa mmemwita mwananchi) kutoa ufafanuzi. Badala ya kujibu madai ya mwananchi anayemlalamikia yeye akawa anajibu vinginevyo. Kukatokea majibishano mabaya baina ya huyo Afisa na Waziri.
Kwa ufupi Afisa alijibu vibaya, japo nalaani hatua alizochukuliwa lakini hakupaswa kumjibu vile Waziri.
Na mnaofikiri huyo mwananchi ni raia wa kawaida, mjue kuwa huyo ni Afisa Mifugo na mfanyabiashara mwenye bar na hotel maarufu hapa Shinyanga. Na malalamiko ya huyu mwananchi aliyeporwa eneo ni ya miaka mingi sana lakini hakuna msaada wowote wa kisheria aliopatiwa considering kwamba alinyang'anywa eneo na mtu ambae ni giant.
Tusihukumu kwa kutumia incomplete infos. Kwa mashuhuda wengine waliokuwepo wanaweza kunisahihisha. Tujifunze kuheshimu viongozi, kulikuwa na majibishano mengine zaidi ya haya yaliyorekodiwa.
Viongozi wa HOVYO wanapata madaraka. Ndiyo matokeo yake hayo.rais aliona nini ndani ya haka katoto hata akakapa uwaziri?
Afsa kipenyo chawarais aliona nini ndani ya haka katoto hata akakapa uwaziri?
Wakuu mnaosea kuhukumu kwa kipande hichi kidogo bila kufahamu walianzia wapi,kifupi Huyu mnaemtetea ndio mwenye makosa .Huyu jamaa ndio mmiliki wa hotel hiitwayo Serengeti city ibinzamata Shy.Katka eneo la hotel hii alinunua plot mbambali,katika hizo plot alizonunua tatu zilimezwa na HIFADHI ya barabara ya tanroads,Sasa katika moja ya plot moja wapo yenye mgogoro Kuna maduka ya mawakala wa mabasi yakukatia tiketi katika eneo ili lipo kwenye HIFADHI ya barabara aliamriwa abomoe.Kutokana na hivyo aliamua kumega eneo la mtu alie nyuma yake nakuanza kujenga maduka mengine ili haamishe hayo maduka ya mbele na Hicho ndio chanzo Cha mgogoro.Huyu jamaa ana mtu mzito nyuma yake(dada yake?) ambae anasemekana ndio mmiliki wa hizo Mali yeye anaendesha Kama kivuli.Kupitia mtu alie nyuma yake amekua akimpa kiburi nakunyanyasa sana hiyo familia yenye mgogoro.Kwa less ya hii video,majuzi katambi alienda eneo la tukio Kama namna yakutatua huu mgogoro,mwanzo alijieleza baba ambae mwenye malalamiko,ilipofika zamu ya huyu mlengwa aliambiwa naww jielezee hoja zako Kama Huyu mzee ili tuone tunaanzia wap na kila mmoja ana documents zake tutazipitia lakini Huyu jamaa akaanza kashfa kwakumkejeli kua wewe nani uwezi kunipelekesha kunihoji hoji nandio happy katambi akakasirika kufikia hapo.Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".
Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.
Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.
View attachment 1861876
Kama sio polisi wengi sana wangeshakalishwa na raiaHawachelewi kuita polisi
Huyu bwana anaitwa Mwalukwa, ni sahihi ulichosema, kiumri ni mkubwa sawa na baba yake na Katambi. Ni mmiliki wa Hotel moja maarufu inaitwa Serengeti City iko Shinyanga mjini pale. Unajua kwa kweli mtu mzima, una familia yako na kuna watu umewaajiri, kuitwa Mjinga mbele ya kadamnasi huwezi kubali.Katambi mpuuzi sana, huyo Anayemuita mjinga ana weza kuwa ni 'saizi' ya mume wa mama yake.
Apunguze 'hang over' na ulevi wa kiki za mwendazake.