Patrobas Katambi "adindishiwa" na mwananchi

Huyu Katambi alivyokuwa anahangaika na maombi ya Tundu Lissu ile 2017 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe alikuwa afisa kipenyo wa CCM TISS
 
Tukisema ccm haipo imebaki na mapolis kina jingalao hata hawaelewi haya nafikili mmejionea wenyewe mfuasi wa mwenda kuzimu huyo tena usajili wake ulitikisa nchi
 
mkuu, sema watu wa hovyo wanapewa madaraka
Kweli Mkuu, kuna watu wengi wa hovyo wameshika madaraka. Naamini zaidi ya nusu ya Wabunge siyo tu hawakustahili kuwa hapo kwa vile hakuchaguliwa kihalali ali hawana sifa za kuwa Wabunge. Mawazili wengi ama hawana uwezo au hawana ubunifu kabisa. Wapo pale kwa ajili ya matumbo yao tu!

Ili kupata wabunge wa maana, nafikiri vigezo inabidi vibadilishwe na idadi ipunguzwe .....!!
 
Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".

Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.

Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.

View attachment 1861876
Jamani nashindwa view attachment
Napelekwa menu kuu. Nime screenshot. Nifanyaje hapa?
Screenshot_2021-07-22-12-26-41-391_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Kweli Mkuu, kuna watu wengi wa hovyo wameshika madaraka. Naamini zaidi ya nusu ya Wabunge siyo tu hawakustahili kuwa hapo kwa vile hakuchaguliwa kihalali ali hawana sifa za kuwa Wabunge. Mawazili wengi ama hawana uwezo au hawana ubunifu kabisa. Wapo pale kwa ajili ya matumbo yao tu!

Ili kupata wabunge wa maana, nafikiri vigezo inabidi vibadilishwe na idadi ipunguzwe .....!!
africa kuna shida kubwa. Ni bara pekee ambalo watu hawawi matajiri na mamilionea kwa kufanya kazi kwa bidii bali kwa kuwa wanasiasa. ukisema idadi, watakwambia mbona uganda ni nchi ndogo na ina wabunge 529?

Imagine Uganda ina wabunge 529?...ufisadi wa africa hata shetani anaushangaa
 
Watu wamechoka! Katambi alianza kwa kusema "huo ujinga fanyia wengine".

Mwananchi akaonya na kupinga vikali kutukanwa (kuambiwa mjinga) hadharani. Na Katambi alipoamuru polisi wamkamate mwananchi aliamua kukaa chini.

Tazama video hii ya nusu dakika ujionee mwenyewe.

View attachment 1861876
Huyu naye waziri????
 
Back
Top Bottom