The. After ikidhoofika ... Tunapata ntuniii/niniChadema itadhoofika.
Hizi ni porojo tu na hisia ambazo hazina ukweli wowote ule. Makonda will never be a prime minister of this country.Mamo a umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, siunaaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Ni kweli maana kiongozi wa watekaji atawateka sana.Chadema itadhoofika.
Sasa machali ndo naniMama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Hicho cheti alichoghushi ni cha darasa la ngapi, je mhusika ana elimu gani kwa sasa?Tunaweza vipi kuwa na Waziri Mkuu mwenye kashfa ya kununua cheti/vyeti vya elimu yake..?
Jina lake halisi huyo mtu wako anaitwa ALBERT BASHITE MALYANGILI toka kijijini kwetu KOLOMIJE, MISUNGWI - MWANZA. Hilo jina la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake bali ni kwa sababu tu anatumia cheti cha mtu mwingine aliyeenda shule yeye (ALBERT BASHITE MALYANGILI) akakinunua cheti hicho na hivyo automatic akajulikana kwa jina la "PAUL CHRISTIAN MAKONDA..."
Mtu halisi mwenye jina hilo yuko Tabora, mtangazaji wa Redio fulani pale manispaa. Huyu ALBERT BASHITE MALYANGILI yeye ni kopo tu, hakwenda shule kusoma. Hapo kavaa personality ya mtu mwingine kabisa, si yeye....
Kwa hiyo ALBERT BASHITE MALYANGILI ana kesi ya jinai ya "impersonification" - kutumia jina la mtu mwingine kujipatia faida...
Hatuwezi kuwa na viongozi wahalifu wa namna hii...
Hatupaswi kuendelea kuliingiza taifa na watu wetu kwenye laana ya wizi wa kielimu na watu wa namna hii kupewa nafasi kubwa za uongozi...
HAPANA..!
Ajisafishe kwanza kwenye kashfa hiyo ndipo tunapoweza kum - trust kwenye nafasi kuu za uongozi wa taifa hili...
Labda atakuwa waziri mkuu wa ukoo wenu. Ila siyo kwenye hii nchi. Kwa sababu hana uwezo wa kukubalika au kushindana na wahafidhina ndani ya chama.Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Wanayapiga hazaraniWhatever , Kwani anapunguza au kuongeza Nini in our daily chores???...
Wewe nimjinga kwasabubu Moja !!! Mbona Kutumia Jina lamtu mwingine inaruhusiwa tu!! Mfano anataka kuludia mtihani Kama anataka kuludia mtihani darasa la Saba naongelea Kwa maika ya zamani kidogo ulikuwa unaenda kwenyeshule nyingine unanunua Jina lamtu mfano darasa la SITA theni mwaka unaofata unapiga pepa Kwa kwajina lisilolako !!! Ukibahatika kufaulu Kwenda sekondari ukifika form2 Kuna option yakwenda kulikana mahakamani hilojina then unaendelea Kutumia majina Yako !!! Huo ulikuwa niutaratibu wakawaida kabisa :: ila sijui Kama kwasasa Bado upo!!!wahalifu
Marangi ndio yule mwenyeji wa singida aliyekulia Mvomero( Morogoro)?Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.