The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Aisee, akili na ufahamu wako uko corrupted na umejengwa ktk mfumo hatari wa uchafu...Wewe nimjinga kwasabubu Moja !!! Mbona Kutumia Jina lamtu mwingine inaruhusiwa tu!! Mfano anataka kuludia mtihani Kama anataka kuludia mtihani darasa la Saba naongelea Kwa maika ya zamani kidogo ulikuwa unaenda kwenyeshule nyingine unanunua Jina lamtu mfano darasa la SITA theni mwaka unaofata unapiga pepa Kwa kwajina lisilolako !!! Ukibahatika kufaulu Kwenda sekondari ukifika form2 Kuna option yakwenda kulikana mahakamani hilojina then unaendelea Kutumia majina Yako !!! Huo ulikuwa niutaratibu wakawaida kabisa :: ila sijui Kama kwasasa Bado upo!!!
Kwa hili, kama mimi ni mjinga (ufikiriavyo wewe), basi wewe ni mpumbavu kabisa...!!
Hawarudii shule kwa kutumia jina la mtu mwingine....
Kama hukufanikiwa kupenya ktk level fulani ya elimu, sheria na mfumo wetu unakuruhusu kirudia tena mitihani kwa jina lako halisi hilohilo...
Paul Christian Makonda, hakupitia mfumo huu bali alinunua cheti cha mtu mwingine aliyefanya vizuri. Jina lake halisi la familia na ukoo wake ni ALBERT BASHITE MALYANGILI...
Hili jina la PAUL CHRISTIAN MAKONDA ni la cheti cha kidato cha nne cha kununua. Nenda kijijini kwao KOLOMIJE, wilaya ya MISUNGWI mkoa wa MWANZA, tafuta baba na mama yake na ndugu zake na ukoo wao wote hawako kwenye ukoo wa kina "MAKONDA....!!"
Hii kisheria na kwa sheria za Tanzania ni kosa kubwa la jinai linaloangukia kwenye makosa ya "impersonation" yaani kutumia jina la mtu mwingine kujinufaisha. Huyu hana tofauti na mwizi wa mitihani...!!
Kama umeelewa, sema kwa sauti kubwa kuwa "...nimeelewa, mimi sio mjinga wala mpumbavu tena...!!"
Sema kabla sijakuchapa hamsa 25 matakoni..😄😄🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️