Pre GE2025 Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

Pre GE2025 Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)

Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.

Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.
Hilo lishamba? Be serious
 
Wewe nimjinga kwasabubu Moja !!! Mbona Kutumia Jina lamtu mwingine inaruhusiwa tu!! Mfano anataka kuludia mtihani Kama anataka kuludia mtihani darasa la Saba naongelea Kwa maika ya zamani kidogo ulikuwa unaenda kwenyeshule nyingine unanunua Jina lamtu mfano darasa la SITA theni mwaka unaofata unapiga pepa Kwa kwajina lisilolako !!! Ukibahatika kufaulu Kwenda sekondari ukifika form2 Kuna option yakwenda kulikana mahakamani hilojina then unaendelea Kutumia majina Yako !!! Huo ulikuwa niutaratibu wakawaida kabisa :: ila sijui Kama kwasasa Bado upo!!!
Bila shaka ulikua/ni mtoto ila hicho unachokisema ni kosa kisheria

Na hayo majina sio unaenda shuleni unachukua tu kama karanga, ni unanunua. Mzazi anatoboka ili upewe jina.

Na hayo majina ni ya wale watoto waliofanya mtihani wa darasa na 4 wakafaulu ila wakakacha shule.
 
😂😂😂toka ndoto...unaota ujinga uchafu... MAKONDA hawezi kuwa pm ever never ....hata mkewe awe Rais.
Utaratibu wa kawaida Waziri Mkuu anakuwa mbunge mwenye jimbo.
Raisi anateua jina la Waziri Mkuu.
Linaletwa bungeni linajadiliwa na kupigiwa kura.
Kwa utaratibu wa kawaida Makonda anatakiwa kwanza kuwa mbunge asiyetokana na teuzi.
Lakini pammoja na hilo anaweza akalipata jimbo.
Swali la msingi ni msafi kiasi gani hadi apendekezwe kuwa Prime Minister?
Mteuzi ambae ni Raisi ndie anajua usafi wa Makonda.
 
Back
Top Bottom