nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Hilo lishamba? Be seriousMama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona mpaka machalii kaweza kuwaweka kwapani.