chuki binafsi haifai gentleman 🐒..Kichwa cha habari chahusika.
..Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
..Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
..anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
..Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
..Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
chuki binafsi haifai gentleman 🐒
Ziko makini, ndio maana zinachagua majaji wanaopokea maelekezo. Lengo la hiyo tume ni kubambikia wapinzani tuhuma, na wakati huo huo kumsafisha Samia ili kuhadaa dunia kuwa kuna uchunguzi wa mauaji ya 29 October...Paul Kadushi ndiye Nassoro Katunga wa awamu ya 5.
..au Nassoro Katunga ndiye Paul Kadushi wa awamu ya 6.
..kwa kifupi mamlaka hazikuwa makini kwenye vetting.
Hakuna post inaitaja chadema inakupita hatimae nimeamini nyinyi sio mumoja NI kundi KUBWA pale lumumba. Mkata viuno hoyeeeechuki binafsi haifai gentleman 🐒
Mkuu, hii ni chuki ya umma, inafaachuki binafsi haifai gentleman 🐒
The entire slate is bogus!Kichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe
Usishangae kwamba hio ndio sababu iliyofanya achaguliwe.Kichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli.
Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk kesi za Freeman Mbowe, na Godbless Lema.
Binafsi nilitegemea watu kama Paul Kadushi wastaafishwe kazi za umma, na sheria, badala ya kuwateua ktk nafasi nyingine.
Uteuzi wa Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila unapunguza imani ktk tume hiyo.
Hafai kabisa maana ametumika na mfumo wa chama dola kongwe kwa uchafu wote wa kesi za kutunga
Reference :
Director of Public Prosecutions vs Freeman Aikael Mbowe & Another (Criminal Appeal No. 420 of 2018) [2019] TZCA 1 (1 March 2019)
1 March 2019 Court of Appeal of Tanzania
High Court has discretion under section 362(1) CPA to proceed without prior typed proceedings; appeal dismissed and remitted.
- Civil procedure
- — Compliance with s.365(1) — notice and supply of proceedings. Right to fair hearing
- — adequate opportunity to be heard
- — no abuse of discretion
- — preliminary objection — improper where it seeks to challenge legitimate judicial discretion
- Criminal procedure — Appeal
Page 7: [...] Paul Kadushi both learned Principal StateAttorneys together with Mr. [...]
I think there is no harm, at this stage also to state that it is
very unfortunate that the appeal is decided now almost 3 7/30
months later.
Initially, there were four (4) grounds of appeal. But,
pursuant to my reasons and order of 30/11/2018, grounds 2 and
3 were expunged from the list. Now renumbered, the remaining,
but when rephrased 1st and 4th grounds revolve around point
namely; The order cancelling appellants' bail was improper
and premature.
Messrs Faraja Nchimbi, Paul Kadushi learned Principal State
Attorneys and Mr. Wankyo, Ms. Jacqueline Nyantori and Mr. Salim
Msemwa learned state attorneys appeared for the respondent
Republic.
Messrs Peter Kibatala and Jeremiah Mtobesya leaned
counsel appeared for Freeman Aikael Mbowe and Esther Nicholas
Matiko (the 1st and 2nd appellants respectively).
To start with, Mr. Peter Kibatala outlined, according to him
three undeniable facts: - 1. That the appellants appeared in the
lower court on 12/11/2018 showing cause why shouldn't their bail
be cancelled, 2. That every time that appellants defaults
Page 2
READ MORE :
Usishangae kwamba hio ndio sababu iliyofanya achaguliwe.
Wajumbe na Makamishna wa TumeMapito ya waheshimiwa majaji
Mhe.Jaji (Mstaafu) Awadh Bawazir
Mhe.Jaji (Mstaafu) Awadh Bawazir
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma PPAA
Retired Judge Gad John Mjemmas
The President of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, has appointed Retired Retired Judge Gad John Mjemmas as the Chairperson of the Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT)
MAAMUZI YA KESI MUHIMU KABLA YA MAJAJI KUSTAAFU :
..Name of the Tanzania Judges and their Leading Cases
1. JM THE HON MR.JUSTICE AUGUSTINO STEPHEN LAWRENCE RAMADHANI ( 6 ) THE HON MR.JUSTICE AUGUS...eastafricatanzanialawinfo.blogspot.com
Court Of Appeal Of Tanzania, Mussa, J.A., Mugasha, J.A., Lila, J.A., Panafrican Energy T. Ltd vs Commissioner General Tra 31st May 2019 Court of Appeal Dar es Salaam Registry
Panafrican Energy T. Ltd vs Commissioner General Tra (Civil Appeal 121 of 2018) [2019] TZCA 170 (31 May 2019) - [2019] TZCA 170
Panafrican Energy T. Ltd Vs Commissioner General Tra (Civil Appeal 121 Of 2018) [2019] Tzca 170 (31 May 2019)
The case of Panafrican Energy T. Ltd Vs Commissioner General Tra (Civil Appeal 121 Of 2018) [2019] Tzca 170 (31 May 2019).sheriahub.com
Kampala, Uganda
Judicial independence infringed when Uganda's Chief Justice has to 'plead' for funds - constitutional court
Begging
All the judges who sat with Judge Barishaki Cheborion to hear the matter indicated their agreement with the outcome. One of them, Judge Stephen Musota, added, in his statement of concurrence with the decision, that the orders made would ‘go a long way in strengthening the independence of the judiciary.’
The judgment is a major victory for real judicial independence in Uganda, where, as the court pointed out, the CJ has been reduced to begging for funds that would allow the courts and the justice system to function properly. Given the enormous power wielded by President Yoweri Museveni, it is often assumed that the judiciary is a mere rubber stamp for his decisions. This decision is an important step towards correcting or rehabilitating that public perception of the judiciary
Small department
Counsel for the law society argued that at present the judiciary was considered ‘as a small department in the ministry of justice’. If the judiciary were appropriately funded it should be allocated about four percent of the national budget – far from the case at the moment.
The judiciary was supposed to be one of three equal arms of government; however, it was ‘not considered on the same level as parliament or the executive but is instead taken as a department under the minister of justice’.
READ MORE
Windhoek
According to Job Amupanda, the nomination amounts to an attempt to use Namibia's judicial credibility to “launder the reputation” of a government of Tanzania..