Paul Kagame, aapa kuiongoza Rwanda kwa mhula wa miaka 5

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na wakuu wa nchi za kiafrika,zaido ya 24, mawazili wakuu na waheshimiwa wengine kutoka ncho mbali mbali za Afrika.
Birundi na Jamhuri ya kidemoklasia ya Congo, hakukua na viongozi waliohudhulia.

Katika uwanja wa mpira,Rwanda National Stadium,iliyokuwa imefulikwa na maelfu ya raia; katika hotuba yake,ameonyesha kufurahia safari nzima ya kampeni na uchaguzi,uliomuacha akichaguliwa yeye kuendelea kuwa madarakani.
Akiongelea mambo mbali mbali yanayohusu majukumu yake,ambaho si mapya,bali kuendeleza,amezungumzia swala la usalama ukanda wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.
Amegusia tatizo la mashariki mwa DRC, na kudai kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.
 
kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.
1000164471.jpg
 
Hivi ni miaka mitano au saba........au katiba imebadilishwa tena maana ninavyojua mimi uchaguzi wa Ruanda hufanyika kila baada ya miaka 7
 
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na wakuu wa nchi za kiafrika,zaido ya 24, mawazili wakuu na waheshimiwa wengine kutoka ncho mbali mbali za Afrika.
Birundi na Jamhuri ya kidemoklasia ya Congo, hakukua na viongozi waliohudhulia.

Katika uwanja wa mpira,Rwanda National Stadium,iliyokuwa imefulikwa na maelfu ya raia; katika hotuba yake,ameonyesha kufurahia safari nzima ya kampeni na uchaguzi,uliomuacha akichaguliwa yeye kuendelea kuwa madarakani.
Akiongelea mambo mbali mbali yanayohusu majukumu yake,ambaho si mapya,bali kuendeleza,amezungumzia swala la usalama ukanda wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.
Amegusia tatizo la mashariki mwa DRC, na kudai kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.
Life president...
 
Mitano tena au Saba tena?
 
Mbali wap!? 76%+ ya barabara za hicho kimtaa(rwanda ) hazina lami? GDP per capital $980-$1005 kwa mwaka????!??
Si kweli unacho ongea Rwanda GDP per capita ni 1060 USD wakati Tanzania ni 1148.00 USD tofouti ni 88 USD, wakati wao miaka walikuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kupiga hatua kama hio sio mchezo. Wakati kagame anaingia madarakani barabara zilizo kuwa nzuri ni 539 KM sasa wapo kwenye 2652 km hio significant growth kwenye transportation infrastructure.
 
Sasa kijana kwa akili zako unaona kuna kitu amefanya?
 
Nani anaye kuambia mimi kijana? Mimi naweza kuwa baba yako. We kwa kuwa una akili za kitoto unadhani wote tuna akili kama zako. We niambie Tanzania imemzidi ni Rwanda? Rwanda inasifika kwa usalama kuliko nchi yoyote Africa kwa sasa. Rwanda imeanza kuitwa new Singapore ya Africa. We baki na ujinga na kuwaonea wivu wafrica wenzako badala kufurahi hatua aliyo piga Rwanda.
 
Huna akili taira ww!Singapore of africa😂😂 kweli wewe kiaz! Maendeleo tu yaliopo Mwanza au Dodoma, Rwanda nzima hamna! Hiyo kigali city hata kwa Arusha haifurukuti! umesikia ww kubwa jinga
Rwanda tumeizidi kila kitu ww mshamba uliyejifungia kwenye shimo.
Pesa tu iliyojenga SGR Dar to dom plus JNHPP ni sawa na budget ya Rwanda miaka 10..
 
Back
Top Bottom