Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul Kagame amekula kihapo cha kuiongoza Rwanda tena,kwa kipindi cha miaka 5.
Ni sherehe iliyohudhuliwa na wakuu wa nchi za kiafrika,zaido ya 24, mawazili wakuu na waheshimiwa wengine kutoka ncho mbali mbali za Afrika.
Birundi na Jamhuri ya kidemoklasia ya Congo, hakukua na viongozi waliohudhulia.
Katika uwanja wa mpira,Rwanda National Stadium,iliyokuwa imefulikwa na maelfu ya raia; katika hotuba yake,ameonyesha kufurahia safari nzima ya kampeni na uchaguzi,uliomuacha akichaguliwa yeye kuendelea kuwa madarakani.
Akiongelea mambo mbali mbali yanayohusu majukumu yake,ambaho si mapya,bali kuendeleza,amezungumzia swala la usalama ukanda wa Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla.
Amegusia tatizo la mashariki mwa DRC, na kudai kwamba,mataifa makubwa,yakiamua,hili swala halitakuwepo.