Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Watakuwa ni ndugu tukwa kuongezea tu inasemekana kagame alitaka watoto wake wote wa kiume waingie jeshin, sema mmoja (anaitwa Ivan) amezingua hana interest na jeshi pamoja na kupelekwa kwenye moja ya vyuo bora vya kijeshi UK. lakini alidrop baada ya miez miwili tu akamwambia baba yake hana interest na jeshi.. akasema ana interest na mambo ya bussiness sasa hv nasikia ni mmoja wa board member kwenye Rwanda Development Board (RDB)
inasemekana huyo hapo chini "Brian" ilibidi apelekwe kwenye chuo cha jeshi na bodygurd ( kwenye miaka 2021) kuhakikisha anamaliza course nafikiri sasa hv ni anacheo cha captain
BRIAN kagame
View attachment 3125695
Ian kagame yeye sasa hv ni mmoja wa bodygurds wa rais
View attachment 3125701
Major ALex Kagame
View attachment 3125702
major Andrew kagame
View attachment 3125704
by the way hao walioteuliwa leomajor Andrena huyo major ALex wana uhusiano gani na president je ni watoto, ndugu wa karibu au ni kaka zake?.. au ni mfanano wa majina tu ?
Shida moja; Abdul sio mjeda, hajapita hata JKT. Hiyo ndio tofautiMama Abdul achukue hili somo
Mwisho mbaya? Hiyo inabakia kama best wishes tu. Paul Biya yupo madarakani since 1981, ana mwisho mbaya upi? M7 katulia zake state house since 1986, mwisho mbaya upi? Na anafanya haya haya ya PK and of course PK ni kama anajifunza kwa M7. Mwisho mbaya is just dua la kuku, halimpati mwewe abadaniPower corrupts..Huyu jamaa ndo kwisha habari yake. Mtu lazima ucheze na nyakati - huyu jamaa angeishajistaafia kitambo sana - angekua kajipumzikia zake..anatengeneza maadui tu..atakuwa na mwisho mbaya sana..
Mimi sioni tofauti kabisa hata hapa kwetu ni hivyohivyo ...View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
ππ
Mama Abdul mbona ndiyo kaanza siku nyingi? Kagame kaiba kutoka kwake.Mama Abdul achukue hili somo
Na mimi nina mawazo kama yako. Nimemjibu kuwa Bongo ilishafanyika.Mimi sioni tofauti kabisa hata hapa kwetu ni hivyohivyo ...
Mkwe ni waziri mtoto ni mbunge na watoto wengine ni washauri waandamizi wa rais tena bila uteuzi wowote..
Tofauti ya tanzania na nchi za congo, rwanda, burundi na uganda ni huku hakuna mtoto wa kiongozi anapelekwa jeshini ila wanapewa vyeo kwenye chama na kupewa teuzi ingawa bada ni la muda tu 10 years kwisha..
Unafananisha USA na Rwanda? Unaleta utani wewe.Hata Trump alimteuwa mkwe wake kwenye serikal yake akamteuwa mtoto wake hatukulaumu akifanya kagame inakuwa nongwa
Angefanya mzungu ugesifia hadi udenda ungekutoka na mbuno ungemkatikia.....Hii ni aibu kubwa sana uzuri wa maditeta Huwa Wana mwisho mbaya.
Ingekuwa udikteta ndio maendeleo leo hii Afrika ndio ingekuwa kimbilio la wazungu na watu wa mabara mengine, tusingekuwa "Shithole" kama tulivyo leo.Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Mzungu gani wa kufanya ujinga kama huo..πππAngefanya mzungu ugesifia hadi udenda ungekutoka na mbuno ungemkatikia.....
Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.Mwisho mbaya? Hiyo inabakia kama best wishes tu. Paul Biya yupo madarakani since 1981, ana mwisho mbaya upi? M7 katulia zake state house since 1986, mwisho mbaya upi? Na anafanya haya haya ya PK and of course PK ni kama anajifunza kwa M7. Mwisho mbaya is just dua la kuku, halimpati mwewe abadani