Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

kwa kuongezea tu inasemekana kagame alitaka watoto wake wote wa kiume waingie jeshin, sema mmoja (anaitwa Ivan) amezingua hana interest na jeshi pamoja na kupelekwa kwenye moja ya vyuo bora vya kijeshi UK. lakini alidrop baada ya miez miwili tu akamwambia baba yake hana interest na jeshi.. akasema ana interest na mambo ya bussiness sasa hv nasikia ni mmoja wa board member kwenye Rwanda Development Board (RDB)

inasemekana huyo hapo chini "Brian" ilibidi apelekwe kwenye chuo cha jeshi na bodygurd ( kwenye miaka 2021) kuhakikisha anamaliza course nafikiri sasa hv ni anacheo cha captain

BRIAN kagame

View attachment 3125695

Ian kagame yeye sasa hv ni mmoja wa bodygurds wa rais

View attachment 3125701

Major ALex Kagame

View attachment 3125702

major Andrew kagame

View attachment 3125704

by the way hao walioteuliwa leomajor Andrena huyo major ALex wana uhusiano gani na president je ni watoto, ndugu wa karibu au ni kaka zake?.. au ni mfanano wa majina tu ?
Watakuwa ni ndugu tu
 
Wakati Samia anampa Mkwe wake, Bwana Mohamed Mchengerwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI mbona sikuona hizi nyuzi!? Au Kagame ndo mtu pekee ambaye ameonesha upendeleo!??
 
Power corrupts..Huyu jamaa ndo kwisha habari yake. Mtu lazima ucheze na nyakati - huyu jamaa angeishajistaafia kitambo sana - angekua kajipumzikia zake..anatengeneza maadui tu..atakuwa na mwisho mbaya sana..
Mwisho mbaya? Hiyo inabakia kama best wishes tu. Paul Biya yupo madarakani since 1981, ana mwisho mbaya upi? M7 katulia zake state house since 1986, mwisho mbaya upi? Na anafanya haya haya ya PK and of course PK ni kama anajifunza kwa M7. Mwisho mbaya is just dua la kuku, halimpati mwewe abadani
 
View attachment 3125654

Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Mimi sioni tofauti kabisa hata hapa kwetu ni hivyohivyo ...
Mkwe ni waziri mtoto ni mbunge na watoto wengine ni washauri waandamizi wa rais tena bila uteuzi wowote..

Tofauti ya tanzania na nchi za congo, rwanda, burundi na uganda ni huku hakuna mtoto wa kiongozi anapelekwa jeshini ila wanapewa vyeo kwenye chama na kupewa teuzi ingawa bada ni la muda tu 10 years kwisha..
 
Na mimi nina mawazo kama yako. Nimemjibu kuwa Bongo ilishafanyika.
 
Meritocracy; government or the holding of power by people selected according to merit.

Professor Mahbob anasema tatizo kubwa la nchi za dunia ya tatu,ni Kwenye nafasi Za uteuzi huwa wanateua watu kwa upendeleo wa kujuana,kirafiki au kindugu..

Akatoa Hadi formula ya wao Singapore kufanikiwa walitumia kanuni ambayo waliita MPH

M=Meritocracy
P=Plagiarism
H=Honest..

So hili kwa afrika sio geni..

Nasikia familia ya Mwinyi Ina rais bara na visiwani...
 
Mwisho mbaya? Hiyo inabakia kama best wishes tu. Paul Biya yupo madarakani since 1981, ana mwisho mbaya upi? M7 katulia zake state house since 1986, mwisho mbaya upi? Na anafanya haya haya ya PK and of course PK ni kama anajifunza kwa M7. Mwisho mbaya is just dua la kuku, halimpati mwewe abadani
Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
 
Back
Top Bottom