kwa kuongezea tu inasemekana kagame alitaka watoto wake wote wa kiume waingie jeshin, sema mmoja (anaitwa Ivan) amezingua hana interest na jeshi pamoja na kupelekwa kwenye moja ya vyuo bora vya kijeshi UK. lakini alidrop baada ya miez miwili tu akamwambia baba yake hana interest na jeshi.. akasema ana interest na mambo ya bussiness sasa hv nasikia ni mmoja wa board member kwenye Rwanda Development Board (RDB)
inasemekana huyo hapo chini "Brian" ilibidi apelekwe kwenye chuo cha jeshi na bodygurd ( kwenye miaka 2021) kuhakikisha anamaliza course nafikiri sasa hv ni anacheo cha captain
BRIAN kagame
View attachment 3125695
Ian kagame yeye sasa hv ni mmoja wa bodygurds wa rais
View attachment 3125701
Major ALex Kagame
View attachment 3125702
major Andrew kagame
View attachment 3125704
by the way hao walioteuliwa leomajor Andrena huyo major ALex wana uhusiano gani na president je ni watoto, ndugu wa karibu au ni kaka zake?.. au ni mfanano wa majina tu ?