Datascientist
Senior Member
- Jul 23, 2024
- 107
- 291
Tunataka Dully awe mkuu wa majeshi ya anga haraka sana Immediately
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo gani hapa anatakiwa kuchukua? hao waliandalia toka kitamboa? Abdul hata JKT tu hajapita anaanzia wapi sasaMama Abdul achukue hili somo
Mkuu kaandika Paul Biya.Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
😂😂😂😂Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
Tuige mfano.View attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Siyo middleaest yote wewe bwege. Sema baadhi ya nchi za middle east. Mfano Iraq, Syria, Lebanon, Turkey zina ma -Rais wa kuchaguliwaAcheni wivu bhana nani kawaambia demokrasia ndio maendeleo? Hapo middle east nchi zote hizo kuanzia mkuu wa nchi, mawaziri, magavana wa mikoa, wakuu wa majeshi n.k wote ni ndugu ama ni watoto wa Mfalme, au kaka wa Mfalme, au mjomba n.k Na hapo middle east hamna uchaguzi wala kupiga kura na nchi zina maendeleo sana tu
Hizo demokrasia za afrika zimewafikisha wapi mwacheni Kagame awape watoto kazi
Waziri mkuu wa ujerumani.. au nikutajie wengine?Mzungu gani wa kufanya ujinga kama huo..😛😛😛
Abdul yupo kitengo cha wasio julikana ana ua sisimizi popote walipo nadhani mama yake anapanga kumpa uwaziriMama Abdul achukue hili somo
Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?
Hao siyo watoto wa Paul Kagame kama inavyoaminiwa. Ni watu wazima tu. Na ni mfanano wa majina tu 🤷🏾♂️Mwenye uweza wa kuwafaham Hao watoto na picha zao...
Napata makangafu nikijua lini Hao watoto wamefikia cheo cha Maj General
Aaaah hapo Sawa kama ni KweliHao siyo watoto wa Paul Kagame kama inavyoaminiwa. Ni watu wazima tu. Na ni mfanano wa majina tu 🤷🏾♂️