Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

Ni Paul Kagame gani aliyetawala Rwanda toka 1981. Moja ya makosa yaliyofanywa na JF ni kuruhusu watoto kama nyie kuandika humu na matokeo yake ndio mnaandika huo utumbo.
😂😂😂😂
Sidhani kama kuna mtu anakukuta kwa kukurupuka hapa jukwaani!
 
Acheni wivu bhana nani kawaambia demokrasia ndio maendeleo? Hapo middle east nchi zote hizo kuanzia mkuu wa nchi, mawaziri, magavana wa mikoa, wakuu wa majeshi n.k wote ni ndugu ama ni watoto wa Mfalme, au kaka wa Mfalme, au mjomba n.k Na hapo middle east hamna uchaguzi wala kupiga kura na nchi zina maendeleo sana tu

Hizo demokrasia za afrika zimewafikisha wapi mwacheni Kagame awape watoto kazi
Siyo middleaest yote wewe bwege. Sema baadhi ya nchi za middle east. Mfano Iraq, Syria, Lebanon, Turkey zina ma -Rais wa kuchaguliwa
 
Vijana wa Kitanganyika wanapenda sana kufuatilia na kukosoa serikali za nchi nyingine wakati hapa kwao wameufyata na kuwa machawa wa watesi wao!
Tanganyika iko wapi? Na kuna shida gani kwani inayofanana na Rwanda?
 
Kiuhalisia hata sis hatutofautian saana na wanyarwanda na waganda.Lkn mi nadhan kama raia wanaiman na maamuz ya serikali yao ni sawa tuu.Tusiwajudge wanyarwanda kwa mtazamo wa kitanzania.Hata sis,wakenya wakitujaji kwa mtazamo wa kwao unadhan wanatuonaje zimo au hazimo!??
 
Kipi bora kuwa chini ya udikteta na kupata maendeleo au kuwa chini ya demokrasia na maendeleo zero?


Hapana.
Karidie notes zako za somo la civics uone faida za aina ya Serikali zidi ya Democracy, Halafu ndio ujue.
U-dictator ni mbaya sana.
 
Mwenye uweza wa kuwafaham Hao watoto na picha zao...

Napata makangafu nikijua lini Hao watoto wamefikia cheo cha Maj General
Hao siyo watoto wa Paul Kagame kama inavyoaminiwa. Ni watu wazima tu. Na ni mfanano wa majina tu 🤷🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom