Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

 
Namba bila akili, ujuzi na maarifa ni kazi bure, Waarabu ni wengi kuliko waisrael lkn hadi leo wanaburuzwa tuu, waafrika tupo wengi kuliko wazungu lkn hadi leo wazungu wanatufanya wanavyotaka.
Waulize marekani kwa vietnam kama namba ni mhimu au lah!?
Kagame akianzisha vita ataondolewa na wanyarwanda wanyewe.
 
Mkwele alikuwa haongei sana ni kupeleka moto tu kimya kimya mbona show aliiiona.
 
Huyu naye na mikwala yake mbuzi kazidi
Anapenda sana vita huyuuuu
Mbingu ataiona kweli?
Anaona Africa ni huko kwao
Atuache buaaaana
 
Labda ataanzisha vikundi vya kigaidi ndani ya nchi yo yote iliyo hasimu wake! Zaidi ya hapo hana uwezi wa kukabiliana kijeshi na nchi yo yote labda Burundi na Kongo!
Burundi ni mtoto wetu hatutakubali huu ukhanithi..lazima tuingie kumchapa.
 
Haya haya ya Japan during WW2 , kujitutumua kwingi , wakat namba ni mhimu Sana kwenye ulimwengu wa vita
Mkuu hiyo avatar ni Admiral nani. Empirial Japan wakuu wa majeshi wengi ni wa majini
 
Pk apambane na Uganda na DRC. Napenda tazama tv za nchi za maziwa makuu. Ukicheki Top officials wa mamlaka nyeti za Uganda ni wanyankole, race ambayo ni purely TUTSI hata watoto wa museven, mke wake na yeye mwenyewe ni Wanyankole hapo ndo kazi waganda wanayo kwa kijamaaa hicho PK. Ila asijaribu kusogelea maslahi ya Tanzania aseee, vitatumika vikosi vya JKT vikivyopo kigoma kuja kuchukua mkoa wetu huo tuliowapa kwa muda.
 
Huyu jamaa anapenda mikikimikiki ya vita, sijui ataiacha vipi nchi yake wakati wa kung'atuka ukifika
 
mjapan kama asiingeia ww2 angekuwa ana eneo kubwa sana upande wa China mainland , Korea yote ilikuwa yake Taiwan na kile kisiwa kikubwa cha mrusi sakhakin alipwega nusu aliposhinda vita na urusi 1905
Ni sawa na kusema Mjerumani asingeingia WW2 hadi leo angekuwa na Poland na Austria. Hakuna nchi ilisema "sasa tuingie vita kuu ya dunia" ila actions ndio ziliungana kuleta vita kuu. Japan alijitoa League of Nations aliteka eneo la China la Machuria na kuliita Manchukuo, China walikuwa na resistance. Korea nzima ilikuwa na resistance hata Philiphines, French Indochina (Vietnam) ambako Ufaransa alipaacha baada ya kuelemewa na Ujerumani na kwingineko wangeanzisha resistance.

Japan aliivamia Pearl Harbor baada ya Marekani kuweka naval blockade ili Japan isipate mafuta. Hapo Marekani akatangaza vita na Japan, lengo la Japan lilikuwa ni kuitisha Marekani inywee ila walikosea calculations. Hivyo Japan haikupanga iingie vitani.
 
Mkuu hiyo avatar ni Admiral nani. Empirial Japan wakuu wa majeshi wengi ni wa majini
Anaitwa Tadamichi Kuribayashi , Huyu hakuwa admiral , yeye alikuwa General, ni moja Kati ya makamanda wachache waliopinga Sana Japan kuingia vitani na US, sababu alishakaa marekani miaka miwili so alijua industrial power ya US kulinganisha na kwao Japan ,

By that time vita vya majini hasa Pacific , vilitegemea availability of aircraft carrier, aviation technology and number of experienced fighter pilot, dive bomber , toperdo bomber , long range bomber ( kiufupi angani ulitakiwa uwe vizuri) na aliwaambia endapo vita itaenda miaka miwili au mitatu atakayaeumia ni Japan mana Hana backup kubwa kama Us , Ila hawakumsikiliza ,

Anajulikana vizur kama overall commanding officer ( Commanding badly outnumbered Japanese defenders in a skillful way) katika pambano la Iwojima, kisiwa kilichokuwa only 250 miles from Tokyo , kuelekea 1945 Japan ilikuwa inashindwa vibaya vitani , hasa pambano la Leyte gulf ( largest naval battle in history) liliiacha Japan home land exposed very close to the enemy,

Jamaa akapewa task ya kudefend kisiwa cha Iwo Jima at all cost , jamaa alipambana until the last man in a loosing way , no aircover, no navy support, only using war of attrition...wamarekani walijua watakichukua kisiwa ndani ya sku tano , Ila jamaa aliweza ku-hold Kwa mda wa sku 36 killing more enemy as possible, jamaa alidefend akiwa na askari 21000 dhidi ya Askari 70000 wa kimarekani ...!!

Mwamba alifia vitani under enemy fire... Inasemekana pambano la Iwo Jima na Pambano la Okinawa ni moja ya sababu za US kutumia Atomic bomb to end WW2...sababu wahuni hawakuwa tayari ku- surrender , na walikuwa wamejiandaa for final showdown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…