Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Paul Kagame: Hakuna wa kunipa maelekezo, wanaodhani wana nguvu juu yangu hiyo haiwezekani. Sipendi uchokozi

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Hotuba hii ambavyo iko live sasa haijulikani ni ya lini hasa lakini ni ya hivi karibuni. Akiongea na Waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa.

For protection of our small Nation I do not need some body's permision, I have said it and i am saying on Day broadlight.

If anybody attemps.....aah!

Generali Kagame anasema who is the incharge of This World? does what?

Kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari anadai Rwanda haihawahi kamwe kujihusisha na uanzishwaji wa migogoro ndani ya Congo, ingawa kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiifanya vita hii kama matatizo ya Rwanda.

Rais huyu Mtabe wa Rwanda anadai kuwa ameshutumiwa kuwa Cruel, Tyrant and Blood Thirsty, anasema hakuna anayeweza kuwa mbaya kiasi hiki na hakuna namna ya kujificha. Na kama ningekuwa mtu wa namna hiyo kama watu wanavyosema badi ningepoteza mvuto kwa watu na hata kwa jamii za kimataifa.

Kama kuna mtu anaweza kuturudisha kwenye nyakati za miaka 30 iliyopita, then we have nothing to loose, we will fight like people have nothing to loose, and some body will pay the price other than ourselves.

" Ntimutinye ibhitumbalaye" akiwapa moyo watu wa Taifa lake. Sijafahamu maana ya msemo huu.

Hut We do not provoke any situation and actually we have been ignoring who provoke us from south, East and West as long as they has not crossed a certain line.

RL unfurl="true" media="youtube:kbiXG_D4SF0"]
View: https://www.youtube.com/live/kbiXG_D4SF0?si=M-YLrPb3eG9K2JW2[/URL]
 
For protection of our small Nation i do not need some body's permision, i have said it and i am saying on Day broadlight.

If anybody attemps.....aah!

Generali Kagame anasema who is the incharge of This Worls, does what?

Kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari anadai Rwanda haihawahi kamwe kujihusisha na uanzishwaji wa migogoro ndani ya Congo, ingawa kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiifanya vita hii kama matatizo ya Rwanda.

Rais huyu Mtabe wa Rwanda anadai kuwa ameshutumiwa kuwa Cruel, Tyrant and Blood Thirsty, anasema hakuna anayeweza kuwa mbaya kiasi hiki na hakuna namna ya kujificha. Na kama ningekuwa mtu wa namna hiyo kama watu wanavyosema badi ningepoteza mvuto kwa watu na hata kwa jamii za kimataifa.
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake mwambieni akae kwa kutulia muda si mrefu muda si mrefu..

Ataenda kwa hao wakubwa tena kuomba asaidie kama alivyofanya 1994.
 
Huu mgogoro ilitakiwa umkute mzee baba Magu.

Sijui ingekuaje hiiiiiiiiiiiii bhagooosha
huyu wa kujichekesha
1738415282613.png
 
Kwa alichosema ni sahihi kabisa! Naona ni longterm mission ya kumwondoa madarakani!
Hata hivyo tukubali anaipambania Rwanda vya kutosha! Ameitoa Rwanda mbali,kutoka kwenye Genocide mpaka hapo ilipo.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake!
 
Back
Top Bottom