Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Mbona sekta zote kwenye hili bara ndio tulivyo; kahawa, nyanya, dhahabu , cocoa, yaani hadi mafuta (nchi kama Nigeria inauza mafuta ghafi yanaenda kufanyiwa refinery yanarudishwa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aka mitumbaNguo chakavu kweli sio mchezo
Viongozi wa Afrika ni ubinafsi umewajaa yule bwanamdogo wa Burkina Faso anawaonesha njia lakini Wana macho lakini vipofu.1Mbona sekta zote kwenye hili bara ndio tulivyo; kahawa, nyanya, dhahabu , cocoa, yaani hadi mafuta (nchi kama Nigeria inauza mafuta ghafi yanaenda kufanyiwa refinery yanarudishwa)
HeheheHuyu jamaa na kinchi chake kidogo kama piriton anataka kutupelekesha🤔
Sisi hata kuongeza Kodi hatuwezi licha ya kuwa bidhaa tunazoruhusu kuingia zinadhalilisha utu wetu watu wanavaa mpaka chupi , soksi na sidiria za mitumba.Lakini hajapiga marufuku. Ametumia mbinu ya kuongeza kodi.
Huyo naye ni wale wale tu, kama uongozi ni ndoa basi Traole ndoa yake iko steji ya honeymoon; ana substitute ukoloni wa Ufaransa na kuingiza ukoloni wa MrusiViongozi wa Afrika ni ubinafsi umewajaa yule bwanamdogo wa Burkina Faso anawaonesha njia lakini Wana macho lakini vipofu.1
Wee ngoja tuu its a matter of time tuuKwakeli maana Kila kitu ndio mzee 😂
You sound exactly like those frustrated mentally deranged folks who were dismissed from public posts in magufuli era owing to certificates forgery....!!Huyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
Kuna viwanda vingapi vya nguo Rwanda?..tuwapelekee pamba yote?Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.
Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba kutoka nchi za nje wakati nchi hizo zinalima pamba na kuuza Nje.
Anasema walikaa kikao kama viongozi wa Afrika mashariki na wakakubaliana kusitisha biashara ya kuagiza nguo chakavu kutoka nje na kuanzisha pamoja na kuendeleza viwanda vya nguo katika ukanda wa mashariki ya afrika. Anasema marekani ilipopata habari hizo walitoa taarifa kwa nchi za afrika mashariki ni marufuku kuzuia uagizaji wa nguo chakavu kutoka marekani. Viongozi wetu baada ya kuelezwa hayo walinywea na kukubaliana na masharti ya Marekani.
Viongozi wetu wakishindwa kufanya maamuzi magumu tutaendelea kutawaliwa na mataifa haya yenye nguvu hata kufikia kutwezwa utu wetu kwa mambo ambayo tunayaweza sisi wenyewe.
Kuna viwanda vingapi vya nguo Rwanda?Frankly speaking Paul Kagame is the smartest president in Africa.
Huwa natamani sana hata sisi tungekuwa na kiongozi makini na mwenye talanta ya hali ya juu ya kiouongozi kama Kagame.
Lile tusi alilomwambia Kikwete kwamba yeye angekuwa na bandari tu hii ya dar es salaam basi angeendesha nchi bila kuomba omba misaada bado linaijia akilini kila nikuona.
Watu wenyewe ukiwawekea nguo za nje na za kutengenezwa Afrika Mashariki watachagua zipi?Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.
Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba kutoka nchi za nje wakati nchi hizo zinalima pamba na kuuza Nje.
Anasema walikaa kikao kama viongozi wa Afrika mashariki na wakakubaliana kusitisha biashara ya kuagiza nguo chakavu kutoka nje na kuanzisha pamoja na kuendeleza viwanda vya nguo katika ukanda wa mashariki ya afrika. Anasema marekani ilipopata habari hizo walitoa taarifa kwa nchi za afrika mashariki ni marufuku kuzuia uagizaji wa nguo chakavu kutoka marekani. Viongozi wetu baada ya kuelezwa hayo walinywea na kukubaliana na masharti ya Marekani.
Viongozi wetu wakishindwa kufanya maamuzi magumu tutaendelea kutawaliwa na mataifa haya yenye nguvu hata kufikia kutwezwa utu wetu kwa mambo ambayo tunayaweza sisi wenyewe.
KTM mbagala hazivalikiWatu wenyewe ukiwawekea nguo za nje na za kutengenezwa Afrika Mashariki watachagua zipi?
Za uso bila kupepesa macho. Skeliton ni muuwaji tuHuyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
Mbona mchina anaingiza nguo na zimejaa nchi nzima. Kuna mtu analazimishwa kununua za mtumba?. Pili jinsi og ya mzungu zingekua zinaingia watavaa wakubwa na watoto wao. Mkuu jinsi og inaanzia 180k masikini gani angenunuaSisi hata kuongeza Kodi hatuwezi licha ya kuwa bidhaa tunazoruhusu kuingia zinadhalilisha utu wetu watu wanavaa mpaka chupi , soksi na sidiria za mitumba.
Makasiriko ya nini wewe kibaka ID yenyewe umejiunga Jumatatu unakuja kuleta mapovu hapa ? Unamfahamu Swaga Ng'ombe wa Ng'walugesha ya 1982 ?Huyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
Ni kweli unachosema lkn huwezi kuwa na soko huria alafu competitor wako ni developed country, anakuzidi kila kitu; technology, capital, skills, utashindwa tu.Nadhani wao ndio walio kosea hawatakiwi kupiga marufuku. Walitakiwa kujikita kwenye uzalishaji wa nguo mpya zenye ubora unaoweza kushindana na nguo za mitumba. Waziuze kwa bei rahisi watu wataacha kununua hiyo mitumba watanunua nguo walizo zalisha wao.
Kupiga marufuku ni kupingana na sera za biashara na soko huria.
Rwanda muda mrefu sana walisitisha kuagiza nguo chakavu (mitumba) na ni marufuku kuagiza hizo takataka.Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda.