Paul Kagame: Nashangaa Afrika mashariki tunalima pamba na kuuza Nje ila tunaagiza nguo za mitumba kutoka nje

Mbona sekta zote kwenye hili bara ndio tulivyo; kahawa, nyanya, dhahabu , cocoa, yaani hadi mafuta (nchi kama Nigeria inauza mafuta ghafi yanaenda kufanyiwa refinery yanarudishwa)
 
Mbona sekta zote kwenye hili bara ndio tulivyo; kahawa, nyanya, dhahabu , cocoa, yaani hadi mafuta (nchi kama Nigeria inauza mafuta ghafi yanaenda kufanyiwa refinery yanarudishwa)
Viongozi wa Afrika ni ubinafsi umewajaa yule bwanamdogo wa Burkina Faso anawaonesha njia lakini Wana macho lakini vipofu.1
 
Viongozi wa Afrika ni ubinafsi umewajaa yule bwanamdogo wa Burkina Faso anawaonesha njia lakini Wana macho lakini vipofu.1
Huyo naye ni wale wale tu, kama uongozi ni ndoa basi Traole ndoa yake iko steji ya honeymoon; ana substitute ukoloni wa Ufaransa na kuingiza ukoloni wa Mrusi
 
Huyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
You sound exactly like those frustrated mentally deranged folks who were dismissed from public posts in magufuli era owing to certificates forgery....!!

Kwa hii comment iliyojaa uchungu inaonekana wewe ulikuwa ni mchepuko wa mafisadi yaliyotumbuliwa na Magufuli.

Na huu uchungu utakufa nao.
 
Frankly speaking Paul Kagame is the smartest president in Africa.

Huwa natamani sana hata sisi tungekuwa na kiongozi makini na mwenye talanta ya hali ya juu ya kiouongozi kama Kagame.

Lile tusi alilomwambia Kikwete kwamba yeye angekuwa na bandari tu hii ya dar es salaam basi angeendesha nchi bila kuomba omba misaada bado linaijia akilini kila nikuona.
 
Kuna viwanda vingapi vya nguo Rwanda?..tuwapelekee pamba yote?
 
Kuna viwanda vingapi vya nguo Rwanda?
 
Watu wenyewe ukiwawekea nguo za nje na za kutengenezwa Afrika Mashariki watachagua zipi?
 
Huyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
Za uso bila kupepesa macho. Skeliton ni muuwaji tu
 
Sisi hata kuongeza Kodi hatuwezi licha ya kuwa bidhaa tunazoruhusu kuingia zinadhalilisha utu wetu watu wanavaa mpaka chupi , soksi na sidiria za mitumba.
Mbona mchina anaingiza nguo na zimejaa nchi nzima. Kuna mtu analazimishwa kununua za mtumba?. Pili jinsi og ya mzungu zingekua zinaingia watavaa wakubwa na watoto wao. Mkuu jinsi og inaanzia 180k masikini gani angenunua
 
Huyo mshamba wako alikuwa na maono gani, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato? Yule alikuwa mshamba katili, Na huyo lofa skeleton maono yake ni kuua wakongomani na kuwaibia madini yao? We kwl ni bwege
Makasiriko ya nini wewe kibaka ID yenyewe umejiunga Jumatatu unakuja kuleta mapovu hapa ? Unamfahamu Swaga Ng'ombe wa Ng'walugesha ya 1982 ?
 
Ni kweli unachosema lkn huwezi kuwa na soko huria alafu competitor wako ni developed country, anakuzidi kila kitu; technology, capital, skills, utashindwa tu.
 
Rwanda muda mrefu sana walisitisha kuagiza nguo chakavu (mitumba) na ni marufuku kuagiza hizo takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…