Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.
Ile ziara yake ilihusu nini! Alikuja kusalima tu!!? Tulikua tunasubiri nini kina jiri baada ya ujio wake hivyo tulikua tumesha jiandaa ki psychology kitaaambo
 
Wala hakuna uhusiano wa uzazi na uchapa kazi mbona tuliambiwa Mkapa hakuwa na "mtoto" ila mbona alikua serious kwenye uongozi?!

Kuingiza jinsia sijui uzazi kwenye uongozi havina uhusiano kabisa.
Tafsiri rahisi ya huo msemo ni malezi ya hovyo ya mama bila baba, hii mara nyingi ni kweli.... unaweza usikubaliane nao moja kwa moja ila kwa kiasi kikubwa ni kweli.

Tunajionea.
 
Si mtoa mada kwamba kwa kuwa Kagame sijui ana hisa Dp World and blah blah Sasa najiuliza inahusikaje na sisi kusign wenyewe mkataba?
Kusoma najua ni changamoto kwako lakini hata picha tu huwezi kung'amua!? Tuna safari ndefu sana
 
Huo mkataba upite tu regardless yani. Mimi nataka kuona matokeo yawe mazuri ama mabaya yoyote yale.

Kama HAMJIWEZI watu wenye UWEZO mnataka Wawafanyaje ? Kila siku Kwenye Mambo ya msingi mfarakana wenyewe kwa wenyewe upite tu

Mnapigaia vitu ambavyo mkiwa navyo mnavi-misuse FaizaFoxy
Umemtag mjinga mwenzio ili aje atetee ujinga
 
Naskia waswahili wa pwani na zanzibar wanatabia ya kuuza vitu tokea wakiwa wadogo eti anaweza kuuza suruali yake ili aende disco..au raba yake kali ili apate pesa ya gest...na dada zao hivyo.

Na tabia ya kupenda kuuza uza vitu,waswahili wanakuwa nazo mpaka utu uzima..ata akiwa kiongozi hupenda kuuza vitu.
 
Wajumbe,

Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.

Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na ushawishi mkubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara ya Kagame siku za karibuni ilikuwa ni kukamilisha dili lenyewe. Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
Jk ndio ccm neno lake moja tu lingesambaratisha mkataba wa DP sidhani kama usemacho ni kweli!?
The vice versa is true
 
Dp ipo kigali haihitaji uwe na phd ujue yote haya.
 
Naona kama kuna connection kwenye hili jambo kati ya ziara ya Kagame kukutana na Samia, na Kikwete akipinga kama mtu aliyekuwa hapatani na Kagame toka enzi za mauaji ya Prof. Mvungi.

Inawezekana Samia alitongozwa na warabu, pia akatongozwa na Kagame, na wote akawakubalia, huyu mwanamke hii tabia yake inamuonesha ni mtu asiyejitambua kabisa, wala hana msimamo, kuwakubalia wanaume wawili kwa wakati mmoja..
Unaonesha u hodari sana kwenye mambo ya kutongozana ni kuwadi nini?
 
Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.

Yaani hatuna utamaduni wa kubeba responsibility. wabongo wengi wanataka utelezi kukosolewa hawataki.

Mpaka kwenye uongozi tunayaona. Nchi inagitaji overhaul
 
Wajumbe,

Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.

Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na ushawishi mkubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara ya Kagame siku za karibuni ilikuwa ni kukamilisha dili lenyewe. Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
Binafsi mimi napinga mkataba tuliongia, siipingi DP World! Kama mchakato unawenza anza upya kwa sheria za manunuzi na DP akashinda na tukasain mkataba usio wa kimangungo basi sina shida kabisa! Huyo JK hajawah nishawishi wa mtu yoyote hajawah nishawishi wapi pa kupinga!

Mfano nimeona kosa moja kubwa- Mkurugenzi wa Bandar kusain Mkataba unaingiwa kati ya serikali moja na myingine! Hapa panatoa mashakha makubwa sana
 
Kagame alipo muendesha mtu na gari pekee yake mlitegrmea nini,nawasihi watumishi wa Mungu mumuombea huyu mama inawezekana sio akili yake maskini....mwanamke ni mdhaifu mbele ya wanaume hiyo ni nature,wamemshawishi kwa mazingira na kwa hoja za kilaghai.
Akili ya kijinga ndio hii. Huyo mwanamke anafanya kazi kazungukwa na wanaume tena wenye shule za maana kuliko hiyo ya kwako.
 
Back
Top Bottom