Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.
Ni sawa na mlevi anayetupia lawama zote pombe! Ukifanya ujinga dawa ni kujuta na kujirekebisha.
 
Unaonesha u hodari sana kwenye mambo ya kutongozana ni kuwadi nini?
Dadako hatufai, hana maana kabisa, anakalia kiti kikuu akiwa hana msimamo, akiona sura ya mwanaume tu analegea kabisa..
 
Mnakumbuka Samia alipanda kwenye Range Rover yeye na Kagame? Kagame akaendesha na Mama akakaa passenger's seat?; 💺 Waliongea Nini?

Mbarawa amesema kilichosainiwa siyo MKATABA Bali ni MKATABA"
 
Wajumbe,

Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.

Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na ushawishi mkubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara ya Kagame siku za karibuni ilikuwa ni kukamilisha dili lenyewe. Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
Kagame ni mdau wa biashara mwenye dry port kimkakati kule Kigali mwaka 2015 na Hayati JPM alikwenda kule siku hizo hizo kuchangamkia biashara ambayo ni hii ya DPW.

Ukimtazama kwa mtazamo hasi unaweza kumsema Kagame kadri uwezavyo, lakini ukimtazama kwa mtazamo wa kiuwekezaji yeye na Rwanda ni sehemu ya biashara pana ya Logistics.
 
Yaani kwa madudu ya Mikataba tunayoingia; na ulafu wa walamba asali katika kuchukua 50% (sio 10 tena) hata tungefunga mkataba na malaika bado tutapigwa tu...

Issue ni uwazi tu...
 
Akili ya kijinga ndio hii. Huyo mwanamke anafanya kazi kazungukwa na wanaume tena wenye shule za maana kuliko hiyo ya kwako.
Punguza hasira and by the way huunifahamu,jikite kwenye hoja!!
Pia nikukumbushe kitu kimojo kusoma sana sio kuwa na akili ..kusoma ni fani kama fani zingine mfano kuchora n.k..ondoa hiyo ukurutu iliyopo kwenye akili yako.
 
Mheshimu Rais wa nchi jinsia yake ni siri ya nyumbani kwake anapokuwa na mumewe.
 
Wajumbe,

Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.

Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na ushawishi mkubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara ya Kagame siku za karibuni ilikuwa ni kukamilisha dili lenyewe. Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
Story za vijiweni hizi,
Kwenye website ya Dpworld,executive directors wote ni Arabs,na wazungu,mwafrika,ni dada mmoja kutoka South afrika,
Sasa hata kama kagame Ana hisa 17,anashawishi vp DP World,kuzidi share holders wengine?
 
Dadako hatufai, hana maana kabisa, anakalia kiti kikuu akiwa hana msimamo, akiona sura ya mwanaume tu analegea kabisa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajumbe,

Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU.

Huyu Bwana amenidokeza kwamba katika uwekezaji huu Rwanda ya Paul Kagame anayo hisa 17% katika kampuni ya DP World na ndiye amekuwa na ushawishi mkubwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara ya Kagame siku za karibuni ilikuwa ni kukamilisha dili lenyewe. Ikumbukwe Kagame amekuwa na hamu ya kumiliki Bandari ya Dar es salaam kwa miaka mingi akiamini kwamba "tumeshindwa kutumia Bandari ya Dar es salaam kutuletea faida".

Hata hivyo, mtoa habari huyo amedai hatua hiyo haijamfurahisha Jakaya Kikwete na ndiye yuko nyuma ya wapinzani wa mkataba huu wa kifedhuli.
Mi niliwahi andika sehem,urafiki wa huyu na yule hauwezi furahisha genge pa yule mstaaf na yeye mwenyewe !!sasa kinachofuata ni nini!?

Mnyukano!!

Huu mnyukano utaumiza majani ambayo ni sisi walalahoi hulu kitaa!!

Ngoja tuone!!
 
Story za vijiweni hizi,
Kwenye website ya Dpworld,executive directors wote ni Arabs,na wazungu,mwafrika,ni dada mmoja kutoka South afrika,
Sasa hata kama kagame Ana hisa 17,anashawishi vp DP World,kuzidi share holders wengine?
Huyo huyo dada na hao wazungu !humo humo yaani UNAWEZA kia mkataba ndani ya mkataba,kwa nje unamuonea mzungu au dada lakini kwa ndani unamuona mwingine ka chill!!!

UJASUSI WA kiuchumi huo!!
 
Akili ya kijinga ndio hii. Huyo mwanamke anafanya kazi kazungukwa na wanaume tena wenye shule za maana kuliko hiyo ya kwako.
Shule za maana zipi?
Mikataba yote mbona ina matatizo na wameingia hao hao na shule zao za "Ivy League Schools"!!??
Akili ya kijinga ndio hii. Huyo mwanamke anafanya kazi kazungukwa na wanaume tena wenye shule za maana kuliko hiyo ya kwako.
 
Kagame alipo muendesha mtu na gari pekee yake mlitegrmea nini,nawasihi watumishi wa Mungu mumuombea huyu mama inawezekana sio akili yake maskini....mwanamke ni mdhaifu mbele ya wanaume hiyo ni nature,wamemshawishi kwa mazingira na kwa hoja za kilaghai.
Noted

"Usijali my,NAJUA umeokota dodo chini ya mti na mapaka shume wananyemelea kiti chako,sasa sikia mimi ndio paka mkuu najuana na mapaka ya kimataifa hakuna wa kukuzingua ukiwa na Mimi cha msingi nisikilize kwa kila kitu usipofanya HIVYO utaishia one term coz FULANI na FULANI wanataka toto zao ndio zikae kwa kiti,tambua hilo"""!!!

Hapo nadhani alinywea kabisa akiwa TAYARI kwa lolote atakaloambiwa!!

NADHARIA huru toka kwa mlipa kodi asiekwepa!!!
 
Asante chief kwa kuweka hii sawa.

Mimi sioni kama hapa kuna haja ya kulaumu huyo PK.

Basi tumekuwa Taifa duni kiasi hicho!! Tanzania inapelekeshwa hivo!!

Yani vyombo vyetu kumbe ni dhaifu sana mbele ya Dola za Rw..!

Maskini nchi yangu!!
Kwa katiba iliyopo mwenyekiti akiwa top ya kila kitu,akirubuniwa TAIFA zima linarubuniwa HATA kama akishauriwa atashupaza shingo coz anakua nguvu aliyonayo!!

Si unakumbuka HATA mzilankende alisema ukimshauri ndio unaharihu kabisaaaa!!!

Kama mwenye kiti akaona kiti kipo shakani akaamua kuomba MSAADA nje na akaamini anasaidiwa kwa terms MOJA mbili tatu,si anakubali kama karume alivokubali kimtego I'll awe salama dhidi ya toshio la kiusalama BAADA ya mapinduzi!!?

We wa kwenda deep umeshanielewa!!

Hiyo ni possible coz aliingia ki insecure na mivutano mingi!!!

Ni ile taasisi tu ndio itaokoa kama ikiamua kuokoa tisho hilo tunalolilia!!
 
Back
Top Bottom