Tetesi: Paul Kagame nyuma ya DP world

Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.
Ile ziara yake ilihusu nini! Alikuja kusalima tu!!? Tulikua tunasubiri nini kina jiri baada ya ujio wake hivyo tulikua tumesha jiandaa ki psychology kitaaambo
 
Wala hakuna uhusiano wa uzazi na uchapa kazi mbona tuliambiwa Mkapa hakuwa na "mtoto" ila mbona alikua serious kwenye uongozi?!

Kuingiza jinsia sijui uzazi kwenye uongozi havina uhusiano kabisa.
Tafsiri rahisi ya huo msemo ni malezi ya hovyo ya mama bila baba, hii mara nyingi ni kweli.... unaweza usikubaliane nao moja kwa moja ila kwa kiasi kikubwa ni kweli.

Tunajionea.
 
Si mtoa mada kwamba kwa kuwa Kagame sijui ana hisa Dp World and blah blah Sasa najiuliza inahusikaje na sisi kusign wenyewe mkataba?
Kusoma najua ni changamoto kwako lakini hata picha tu huwezi kung'amua!? Tuna safari ndefu sana
 
Umemtag mjinga mwenzio ili aje atetee ujinga
 
Naskia waswahili wa pwani na zanzibar wanatabia ya kuuza vitu tokea wakiwa wadogo eti anaweza kuuza suruali yake ili aende disco..au raba yake kali ili apate pesa ya gest...na dada zao hivyo.

Na tabia ya kupenda kuuza uza vitu,waswahili wanakuwa nazo mpaka utu uzima..ata akiwa kiongozi hupenda kuuza vitu.
 
Jk ndio ccm neno lake moja tu lingesambaratisha mkataba wa DP sidhani kama usemacho ni kweli!?
The vice versa is true
 
Dp ipo kigali haihitaji uwe na phd ujue yote haya.
 
Unaonesha u hodari sana kwenye mambo ya kutongozana ni kuwadi nini?
 
Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.

Yaani hatuna utamaduni wa kubeba responsibility. wabongo wengi wanataka utelezi kukosolewa hawataki.

Mpaka kwenye uongozi tunayaona. Nchi inagitaji overhaul
 
Binafsi mimi napinga mkataba tuliongia, siipingi DP World! Kama mchakato unawenza anza upya kwa sheria za manunuzi na DP akashinda na tukasain mkataba usio wa kimangungo basi sina shida kabisa! Huyo JK hajawah nishawishi wa mtu yoyote hajawah nishawishi wapi pa kupinga!

Mfano nimeona kosa moja kubwa- Mkurugenzi wa Bandar kusain Mkataba unaingiwa kati ya serikali moja na myingine! Hapa panatoa mashakha makubwa sana
 
Akili ya kijinga ndio hii. Huyo mwanamke anafanya kazi kazungukwa na wanaume tena wenye shule za maana kuliko hiyo ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…